Star Tv kero tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star Tv kero tupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kitumanga, Nov 17, 2011.

 1. k

  kitumanga Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Star tv ni kati ya chanel ambazo zinajitahidi sana katika suala zima la kuwafungua macho watanzania. Hi ni kwa kujitahidi kurusha vipindi ambavyo kwa kweli ni mwanga kwa jamii mfano kipindi cha tuongee asubuhi show, bunge, midahalo mbalili mbali, na vinginevyo vingi ambavyo vinaigusa jamii direct. Ila kero yao kuu ni kuwa na mafundi mitambo waliolala yani unakuta star tv haishiki au inashika kwa kugomagoma kwa muda hata wa wiki bila kurekebishwa sasa sijui wanakua hawana taarifa au ni uzembe, tatizo lingine ni la kurudiarudia vipindi yaana unakuta kipindi cha mpira mech ya 2010 inarudiwa hata mara tatu mfululizo hi ni kwa faida gani? ndugu zangu wenye mawasiliano ya karibu nao naombeni kwa faida ya watz wengine muwashtue maana imezid siju ni iringa tu au tz nzima.
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sababu ni ya gamba komavu!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sio mafundi mitambo mkuu'jamaa hawana hela ya kununua equipment nzuri'kila siku ndio zao'biashara za miafrica hakuna kujirekebisha
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ala kumbe, manake ule mrija wa kutunyonya ulikatwa na Mh.Highness siyo ha! ha! ha!
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  labda VOA wametoa hisa zao
   
 6. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sio star tv tu ndugu,hata TBC ni wapuuzi!
   
 7. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nina zaidi ya week sijaona STAR TV. Imepotea kabisa kwenye ka setelite dish kangu!!
   
 8. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  umeona eee!!!!!!!! Mbaya zaidi hiki kituo hakina hata mfumo wa kutoa maoni, ili kuwasitua wanapokosea.
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ivi hii channel bado ipo.
   
 10. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huki wasifia wataboronga hao ni magamba damdam . Hiyo dish ndogo nunua ft 8 hukuna husumbufu hutaipata bila shida mkuu
   
 11. k

  kitumanga Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumia kingereza kama kiswahili huwezi
   
 12. Ondio Osio

  Ondio Osio Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona sijawasoma?
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wanajitahidi na wanatoa habari kwa urefu zaidi sio hao tbc wazee wa headlines..
   
Loading...