heheeh dah! kuna baadhi ya mapwenti yako itabidi nikuPM, tusichakachue sredi lol
jf is never boring lol
duh............kavulana gani hako jamani?
mchana 'kanashindwa kuzungumza'
halafu usiku ndo 'kanaanza utundu?????
mimi pia nimeblock lakini nitaifungua kwa dharura tu, pliz jamani ifungue nikupatie yale mapwentileo jf ni mwendo wa kuchanana live hapa hapa. Kwanza nimeblock pms.
sijui ulikutana wapi na jamaa ingawa huwa kuna mazingira unalazimika kutoa namba bila kupenda ila kama ni mambo ya kimtandaoni usirudie.
Na huu ndio mkwala wa kipipi!Na ikitokea umetoa namba ya simu, basi ujiande kudeal na watu wajinga wajinga kama hao!! Kuwachana live tu, unapokea simu na kumshushia za mbavu. Mi watu wa hivi huwa hawanisumbui kabisa, na huwa hawachelewi kuniona kero kwao na kujiengua wao wenyewe mapema!!
jf is never boring lol
duh............kavulana gani hako jamani?
mchana 'kanashindwa kuzungumza'
halafu usiku ndo 'kanaanza utundu?????
Na ikitokea umetoa namba ya simu, basi ujiande kudeal na watu wajinga wajinga kama hao!! Kuwachana live tu, unapokea simu na kumshushia za mbavu. Mi watu wa hivi huwa hawanisumbui kabisa, na huwa hawachelewi kuniona kero kwao na kujiengua wao wenyewe mapema!!
Na huu ndio mkwala wa kipipi!
acha tuuweke kwenye faili la kumbukumbu
Mkuu unaonaje hivi bila kulogiofu si inapendeza ? lol!pole sana ila mie nikiijua hiyo namba yako sintoweza kufanya hivyo,tutachonga ngenga mchana kutwa.
watu wanaosumbuliwa na simu huwa wanapenda. Unakuta mtu anapigiwa anapokea. Kitendo cha kupokea ina maana umeikubali ile call. Bado kwenye maongezi anaongea vizuri tu ila baadae ndio kujifanya hupendi. Kama hupendi kupigiwa ukipigiwa usipokee, ukipokea usiongee. Siku mbili tu unabaki huru.
Wewe tumefahamiana katika mazingira ya kistaarabu, tumezoeana kama binadamu wengine bila kuvuka mipaka, najua umeoa ila mimi hujui status yangu kama nimeolewa au niko single, kutokana na kwamba haikuhusu, sasa kinachokufanya unipigie simu saa 5 kasoro 7 usiku ni nini? wakati hata huo mchana huna la maana la kuniambia? Najuta kukupa namba yangu, kama matumizi yako ya simu ndo haya. Wanaume wengine mnakera sana