hapana bwana mimi sichukii ila nilikuwa nataka kufahamu........inakuaje most of time ni moshi
hahahaha mzazi hii kali sanaKama unataka ugombane na wazee, jaribu kubadili radio wakati wa matangazo ya vifo. Watu wapo tayari kupitwa na taarifa ya habari lkn si MATANGAZO YA VIFO. Radio One inaheshimika Moshi kwa kuwa kuna watu wanataka kujua ndugu waliofariki.
Basi assumptions zitakuwa wachaga:
- wanakufa sana
- wanapendelea redio inayosikilizwa sana kwao
- wanautamaduni wa kutangaza vifo vya ndugu zao
- wana hela ya kufanya hivyo
- wanadhani redi ya mengi ni yao
- mengi anawatangazia bure
- wanaushamba kwahiyo wao kumtangaza mtu ni kama kafika mbinguni
- wanasikiliza redio hiyo tu popote walipo
Pia ni maarufu kwa kugombea maiti
Kila nikisikiliza matangazo ya vifo radio One, nasikia tu Wachaga ndo wanaongoza kwa kutangaza misiba yao (asilimia kama 90).
Swali langu; Je hawa jamaa ndo wanaongoza kwa kufa AU wanapenda umaarufu kupitia redion??