Recent content by kitulike

  1. kitulike

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya bima za afya

    utakua umeupiga mwingi
  2. kitulike

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwandishi wa ITV Ufoo Saro yu wapi?

    sidhani kama kuoa inazuia jambo kama hili
  3. kitulike

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

    Hata usikasirike, we run this world kumbuka!!
  4. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    mdogo wangu nilivyosoma situation unayopitia kiukwel akilini likaja swala hili uliloliongelea hapa maana mm pia nimeshashuhudia hili, sasa fanya maamuzi sahihi ukiliweka hili kichwani mwako, nakutakia kila la kheri!!
  5. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani sana mkuu, nakuombea siku moja nione ushuhuda kutoka kwako, MUNGU akubariki
  6. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani sana
  7. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani sana
  8. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Direct mkuu
  9. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Direct mkuu Status ni selected for oral both web na app
  10. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani boss
  11. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika...
  12. kitulike

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

    mkuu, ada ni kiasi gani hapo Barney?
  13. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Amina
  14. kitulike

    JamiiForums Tanzania Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Mkuu, naamini haupo serious juu ya hili
  15. kitulike

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    dah [emoji23]
Back
Top Bottom