Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Nimefikria the same pia,, nadhan asali ya wizara ya ujenzi haiwezi kua sawa na wizara ya sheria na katiba. Lazima tu apo ujenzi kutakua na virupurupu vingi sana.
Nimefikria the same pia,, nadhan asali ya wizara ya ujenzi haiwezi kua sawa na wizara ya sheria na katiba. Lazima tu apo ujenzi kutakua na virupurupu vingi sana.
Oyaa msitutenge na sis ambao hatusubir placement yyte ila tuko nyuma yenu makamanda.Haya wanangu wa database amken tuje tu-push ajenda...
Mnazi kama mnaziOyaa msitutenge na sis ambao hatusubir placement yyte ila tuko nyuma yenu makamanda.
Tupo pamoja kamanda, sema ndo hivyo kuna wakati tunajivutia upande wetu tunaelekeza shida zetu mbele kwanza lakini badae tunakuwa pamoja kutiana moyo, kupongezana, na kupeana moja mbili tatu kuhusu Asali.Oyaa msitutenge na sis ambao hatusubir placement yyte ila tuko nyuma yenu makamanda.
Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
dah [emoji23]What an April fools' day[emoji16]....
Thank y'all for your congrats anyways,might use them later[emoji23]
Nilijua tuu 😁What an April fools' day[emoji16]....
Thank y'all for your congrats anyways,might use them later[emoji23]
Duu, nilishaa sahau, mimi nilijua ni siku inatumika hasa na watoto wa shule ya msingi na sekondari.What an April fools' day[emoji16]....
Thank y'all for your congrats anyways,might use them later[emoji23]
Unazi gani sasa apo unaongelea?Mnazi kama mnazi
Kichwa chako wewe manka[emoji4]What an April fools' day[emoji16]....
Thank y'all for your congrats anyways,might use them later[emoji23]
Yeah sure mkuu mi mwenyewe nilikuwa database.Tuwe na subra wadau.
Database wanatoa kidogo kidogo.
Mhagama anaondoka na database ya 1700 sijui tutamdai naniMhagama nje simbachawene ndaniView attachment 2573280
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mhhh!! Sasa itakuwaje?Mhagama nje simbachawene ndaniView attachment 2573280
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]nacheka kama mazuri vile,ila inaumaaaMhagama anaondoka na database ya 1700 sijui tutamdai nani