HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera sana mkuu, ukawe Mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi mkuu
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera sana mkuu kila la heri katika utumishi wa umma
 
We haujashangaa mzee bali una makasiliko kama, umeshangaa umeshaeleweshwa ni amefanya interview zote za izo placements alizopata au laa ni makosa ya kibinadamu tu ya PSRS maana kwasasa wanajitahidi kuzuia ilo tatizo tofauti na mwanzo.
Rakini mzee bado unahamaki tu, ooh hajawahi kufanya interview zaidi ya hiyo, kwani yeye ndio wewe kwamba unajua Kila kitu chake ?

All in all nipo kwenye kusaka ajira tangu 2019, sasa kama wewe umeanza January nakukalibisha kwenye huu mtanange na nakuombea upate ajira mda wako ukifika.
Mkuu hiki kijiwe cha wasomi em jifunze matumizi ya R na L...ukiajiriwa huko ofisini kwa uandishi huu utapata aibu
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera sana...kapige kazi mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Wakati huohuo mzee mzima IT kwenye moja na mbili leo kaamua kuwa mbele ya muda.

Karuka na tangazo la tarehe 1 mwezi wa 8 mwaka 2023.

Bila shaka hii ndio ile "dalali Mboneke" huwa anasema TUONANE MWEZI UJAYO
Screenshot_20230731-214544_Adobe Acrobat.jpg
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
JAH bless champ, shuhuda ni muhimu sana hapa jukwaani kupeana faraja
 
Ndugu zangu, naomba niwashukuru kwa michango yenu hapa jukwaani, kiukwel kupitia uzi huu ulinipa matumaini sana katika safari yangu ya kusaka ajira, safari ni hii ni ngumu lakin naombeni kwa ambao bado hamjafanikiwa msikate tamaa, MUNGU yupo tusichoke kumuomba. Mimi ni kati ya waliotokea katika mkeka wa leo.
Hongera na kila la kheri katika utumishi wako mkuu
 
Back
Top Bottom