Wana jamvi nahitaji msaada wenu kwa hili.
Jamaa yetu mmoja (mtingaji mgodini) leo hii kapata kisago kisa hakufika kazini kwa siku mbili.
Kabla ya kujitetea alipigwa na kiongozi wake ambae ni kaburu hadi kuzirai. Alipopata fahamu alijikuta yuko clinic kaumia mbavu na mkono mmoja. Je, kwa kosa la...
Mkuu nahisi unakoelekea siko. Enzi ya mwalimu si enzi hizi, kijana wa leo ana mtazamo mpana sana hutomlinganisha na enzi zile. Mfano mdogo to wale wazee wa Afrika mashariki angalia wanavyoteseka, wataka nasi tupate suluba ile ile???
Nionavyo mimi mnataka nchi iendelee kuwa maskini zaidi sio...
Tarehe 30 July 2012 SSRA wametuma barua Resolute Mining kuhusiana na sakata la fao la kujitoa
Kumb. Na.CB75/396/VOL.II/13 withdraw benefit soma hiyo clip.
Je hili si changa la macho? Mbona hakuna nakala kwa NSSF makao makuu, mkoa hata wilaya?
Naomba MCHANGO WENU
Nawakilisha
Wafanyakazi wa mgodi wa North Mara (Barick) Jana walipokwenda NSSF kuchukua mafao yao baada ya kuwa wameachishwa kazi, waliambiwa wasubiri hadi miaka 60 kwani sheria hiyo imeanza kutekelezwa tangu 01 July 2012.
Swali: Inakuwaje sheria ipitishwe kinyamela pasipo husisha wahusika?
Life...
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku.
Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: -
1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti itachukua muda gani kubadilishiwa?
2.Je, utalipia tena Mita hiyo (luku)?
3. Je, ikiwa utasubili hadi...
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku.
Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: -
1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti itachukua muda gani kubadilishiwa?
2.Je, utalipia tena Mita hiyo (luku)?
3. Je, ikiwa utasubili hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.