Tanesco - je ni ukiritimba au ndo huduma zenu za luku ziko hivyo?

kisute

Member
Oct 6, 2010
54
3
Wana JF naombeni msaada kuhusiana na Luku.
Nafahamu asilimia kubwa mnatumia luku na si mita za zamani. maswali yangu ni haya: -
1.Inapotokea Luku kuharibika au kutofanya kazi kabisa ukaripoti itachukua muda gani kubadilishiwa?
2.Je, utalipia tena Mita hiyo (luku)?
3. Je, ikiwa utasubili hadi miezi mitatu na kuendelea hujapata luku, kuna sheria yoyote ya kudai fidia ya usumbufu?
4. Je, hali hii ya kusubiri pasipo mafanikio unaruhusiwa kupanda ngazi ifuatayo mkoani, makao makuu?
4. Ikitokea mteja ukachelewesha kulipa utakatiwa umeme na utadaiwa ulipe fidia.

Naomba majibu yenu yahusishe wale tulio jijini na wale walioko mikoani na wilayani pia

Source: mimi mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom