Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
huyo mume wa mtu ni muhuni tu hana lolote
Nasikia shingo mdebwedo hutibwa kwa kupigwa na kichwa cha chini.
Kinachokusimamisha nini tena ? Na we ushadai wapita ? Na hapa unamsikia Kongosho yuko serious anaomba mzibuo, kabla mzibuliwaji haja'afiki mazibuzi yawe wapi we umesimama! Umbeya acha ! We songesha mbele waache wazibuanaji wazibuane.
Hiyo ni lugha ya kikubwa! Nenda jukwaa la wakubwa utakuta mambo hayo. au tembelea www.dinahouciusblogspot.com utapata majibu kule. Kifupi mkiwa ndani ya ndoa mzee anataka mchezo hivyo anatumia lugha hiyo. kama ni nje ya ndoa tunaita kubemenda.
Nimetumia tafsida mzee au nawe ni under 18? ni huko kwa rafiki yako unaemsalimu kila baada ya muda kwa kumshika mkono. I hope nimeeleweka.
Yeah ataanza kusikia vizuri yakizibuliwa.
Hata meno yakianza kuota jamaa la nje nalo linapata nafasi ya kukazia meno
Huo ni msemo 2, hakuna uhusiano wa jujamiana kwa wazazi na mtoto kusikia. Huyo rafiki yako km ana afya njema( hakupata matatizo wakati na baada ya uzazi) ampe mumewe huduma.
Inaelekea jamaa kamaliza mistari yote akiomba huduma mpaka akaamua kusema anataka kumzibua mtoto maskio!!
Hello JF,
Naomba kueleweshwa hii kwa niaba ya rafiki yangu ambae ana mtoto mchanga wa miezi mitatu mmewe anamwambia kuwa wamzibue mtoto masikio. Je ni kweli huwa masikio ya mtoto yameziba? na ku do ndiyo njia pekee ya kuyazibua?