SSRA - YAJIBU maswali kwa barua pepe kuhusiana na fao la kujitoa(Withdraw benefit) - Resolute Mining | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SSRA - YAJIBU maswali kwa barua pepe kuhusiana na fao la kujitoa(Withdraw benefit) - Resolute Mining

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kisute, Aug 2, 2012.

 1. kisute

  kisute Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tarehe 30 July 2012 SSRA wametuma barua Resolute Mining kuhusiana na sakata la fao la kujitoa
  Kumb. Na.CB75/396/VOL.II/13 withdraw benefit soma hiyo clip.

  Je hili si changa la macho? Mbona hakuna nakala kwa NSSF makao makuu, mkoa hata wilaya?
  Naomba MCHANGO WENU

  Nawakilisha
   

  Attached Files:

 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  changa la macho hilo
   
 3. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na ya geita gold mine ipo haina tofauti na hy ya resolute tofauti yake ni hapo kufunga mradi tuu kwani resolute wao wanafunga mradi kila kitu ni same.
   
Loading...