Recent content by Kisura

  1. Kisura

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Kizzo Gunz

    Kizzo Gunz, alikuwa kati wa waasisi wa JamiiForums wakati ule tunaita JamboForums. Alikuwepo sana hapa. Lala salama Franklin Ndosi aka Kizzo Gunz. Pumzika sasa, na lala Salama. Amina.
  2. Kisura

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA wagomea Miswada ya Petroli na Gesi, Bunge laahirishwa ghafla

    Kifupi ni kwamba Mama Makinda amezira na kuandoka bungeni, hakuna sababu nyingine.
  3. Kisura

    JamiiForums Tanzania Do we need Nuclear Energy in Africa?

    CAN YOU AFFORD ONE?!!!!! We can't afford Generators how would you even think about discussing this!!!!!!!!!!!!
  4. Kisura

    JamiiForums Tanzania Advocate Maira is no more!

    My thoughts go out to the family--know that you have my greatest sympathy, and my heart is truly saddened. My sincere thoughts and prayers are with you. Pumzika kwa amani Mzee Maira.
  5. Kisura

    JamiiForums Tanzania Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

    Naumia - Jose Chameleone Uliniambia Umechoka Kukaa Nyumbani Unataka Kutafuta Kazi ya Kufanya Nilikubali, Nilikutafutia Kazi Sasa Nasikia Vibaya Rohoni, Mbona Unarudi usiku Nyumbani? Nielezee Nijue kwanini Labda Umepata Mwingine Kazini, Anakuchelewesha kurudi Nyumbani Naumia...
  6. Kisura

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    Hapana, Air Tanzania isingekuwa hewani. Kampuni ya kitaifa (TCAA) ndio haswa lilianza kusitisha usafiri wa anga ndani na nje ya Tanzania kabla ya shirika la kimataifa (IATA.) Kwahiyo hata kama IATA isingetia neno la ku ground ndege zetu, bado Air Tanzania ingekuwa grounded! I think a...
  7. Kisura

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    So embarrassing! Hii kitu yote ya ATCL imenikisikisha sana!
  8. Kisura

    JamiiForums Tanzania kusema peke yako

    If it ain't broke, don't fix it.
  9. Kisura

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    Hakuna confirmation hearing, na hivi, hata hiyo Board of Directors kazi yao nini? Hawawi involved na recommendations za maamuzi kama haya ? Au Rais yeye ana bypass tu, executive decision manake. Kwa vile Rais anajua rekodi ya Mattaka (siwezi amini hajui,) anachotueleza hapa ni kuwa, hata...
  10. Kisura

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    Ona sasa, ashasahau hata jana kasema nini, anazunguka tuu, kiongozi gani huyu. Pamoja na matatizo yote ya ATCL, bado sielewi ni vigezo gani vilitumika kumpa David Matakka jukumu la kuendesha ATCL. Hana rekodi nzuri ya kazi huyu. Alisimamishwa kazi PPF kwa kashfa ya kuhujumu shirika. Yeye...
  11. Kisura

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha kiTanzania

    Tukiwa kwenye kuelimishana, it is "Younger" not "Young"
  12. Kisura

    JamiiForums Tanzania Mchukia Fisadi kafiwa

    Pole sana Mchukia Fisadi. Pole sana.
  13. Kisura

    JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya ATCL

    Sasa zimesitishwa au hazijasitishwa, which is which? Regardless, faults 500 ni nyingi sana, hii ni hatari sana! Wataalamu mliosomea urubani na hasa wahandisi popote mlipo nje na ndani ya Tanzania, natoa wito, tafadhalini, nendeni mka salvage ATCL.
  14. Kisura

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

    It is Fundi, hakuna offer, asinge admit aliyoyasema.
  15. Kisura

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

    EEhh, Kwanza habari za jikoni kamueleze mkeo, au aliyekuleta duniani, si mimi, tena shika na adabu yako. Pili, you obviously have no clue what you are talking about. Nenda kaangalie stats za graduates na rate za unemployment, better yet, people who are not working on their fields then tuje...
Back
Top Bottom