...good news,maana walikuwa ni kero na hatari kwa maisha ya wasafiri,naamini shirika jingine litaibuka very strong & more efficient kuliko hawa wababaishaji,sasa sijui zile pesa zetu walizonunulia ile kanyaboya kule Liberia itarudi?bunge/waziri liitishe uchunguzi wake kuwatia adabu hawa mafisadi sio lazima Raisi afanye kila kitu,na sheria za ndege lazima zibadilike ili twende mbele sio kutumia sheria za ndege wakati tukiwa wakomunisti!...lakini Mattaka lazima naye alazwe Keko maana alichofanya pale ni umafia tuu.
For general publics and my personal intrest, what are implicaton of being sacked from IATA?
- Tanzania bwana, mimi nakumbuka zamani Mustafa Nyanga'nyi akisoma habari katika kipindi cha mbiu ya mikoa Radio Tanzania kutoka Kondoa,
sasa eti leo anaweza kusimamia na kuendesha shirika la ndege la taifa na likawa shirika kweli na kukubalika na mataifa?
Wallahi haya maajabu ya Musa!
This is most embarrissing thing to ever happen to Tanzania!
Who should be accountable? is it Mattaka and Nyang'anyi alone? what about Mungai, Chenge, Mgonja, Mramba or even Mkapa?
If I were Kikwete, I will make sure the message is clearly understood this time.
There is a need to breed a nation of no nonsense workers and leaders!
We may achieve that by sacrificing alot, which may even include party ideology, Amani, Utulivu na Mshikamano!
It means your airline is not worth flying! It means it is unsecure to fly with your airline, it means that your whole aviation industry is moribund, non functioning!
This is a reflection of country's leadership. We can not even manage damn airplanes?
Kumbe wakati mwingine huwa una akili eeh
It means your airline is not worth flying! It means it is unsecure to fly with your airline, it means that your whole aviation industry is moribund, non functioning!
This is a reflection of country's leadership. We can not even manage damn airplanes?
......hii kiboko yaani mzee wa mbiu za mikoa kawa CEO wa airline,hawa wazee design hii ukienda pale na elimu yako ulete utaalam wako ujue umekwisha!
Afadhali yametokea haya. Hawa jamaa walikuwa wanaelekea kuua abiria wao! Kila mara nilipofikiri kusafiri kwa ATC tumbo lilikuwa linakoroma!! Mataka alisema hatajiuzulu. Tuone sasa!
Kama ambavyo tumeeleza kwa kirefu kwenye kijarida cha cheche toleo la leo (angalia thread hapa) muda mfupi uliopita tumehakikishiwa kuwa hatimaye Shirika letu la ndege la ATCL limeondolewa kutoka katika ushirika wa vyombo vya safari za Anga IATA.
Vile vile vyanzo vya uhakika vimedokeza kuwa kufuatia taarifa yetu ya kina kuhusu jinsi ATCL ilivyotafunwa ambapo tumetaja majina (to the delight of our dedicated critics) ndani ya masaa 48 yajayo kuna mkutano muhimu utafanyika (wenu mtiifu nimedokezwa dondoo zake); mkutano huo unaweza kubadilisha ATCL katika siku chache zijazo.
"Kuna wakati mtu anaweza akavumilia uzembe akiamini mtu anaweza kurekebishwa na kueleweshwa; lakini inafikia mahali lazima tuzeme enough is enough" amesema afisa mmoja wa serikali ambaye tumempenyezea ushahidi wa ubadhirufu uliokubuhu wa ATCL!
NAKALA IKO WAPI?
Mbona siioni?