Nonsense, mwandishi mzima unaleta porojo badala ya kumproove wrong gwajima kwa kutuletea vyeti unaleta blah blah.
Napata wasiwasi na uwana habari wako pengine ndo maana umeshindwa kuajiriwa. Kumbe ni zero brain kama huyo umteteae
Pumbavu kabisa! Kafanye homework kwanza ndo uje na mrejesho
Zama zimebadilika sio kama zaman. Miaka ya nyuma ilikua ni kaz sana kujiunga usalama wa taifa mpaka wao wakuchunguze bila wew kujijua kwa muda mrefu then ukikidhi viwango wanakuchukua.
Yaani wanakuchunguza toka ukiwa primary hadi chuo na mwenendo wako wa maisha kiujumla.
Tiss walifanya hivyo...
Sorry mkuu, kama unafahamu chanzo cha hili bifu naomba utuelezee vizuri maana kila kona linaongelewa. Mpaka pres. trump ametweet
Na jee meek mlz anahusika vipi na bifu hili
Series za ki intelligencia
Marvels agent of shield
Homeland
Strike back
Designated survior
Intelligence
Macgaiver
Nyinginezo:
Game of throne
Tyrant
Banshee
Into the badlands
Narchos
Vampire diarries
Original
Da vincii demons
Animal kingdom
Nashukuru sana mkuu kwa makala nzuri, umenifungua macho kuhusu 'ku- root' nilikua sina elimu ya kutosha kuhusu suala hili, ila kwa sasa nimekua pro.
Thanks keep it up[emoji122]
Kimsingi sisi watanzania tunahaki ya kutumia ziwa victoria kwa vyovyote vile ilimradi tu, tusichafue mazingira na vyanzo vya maji.
Kuna viongozi wachache wanahujumu matumizi ya ziwa victoria kwa maslahi yao binafsi na misri pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.