Fahamu kuhusu rooting kwenye android mobile phones

c7239fc9d32d4d6142426c7ee448ed39.jpg
 
Natamani sana kufanya hii k2, maana kuna jamaa yangu ameroot tecno ila ukiichek kama Iphon,
Sas naomba2 kujua kwamba efect zakuroot nikwamba2 unakua huhusiki na warant au kuna shida nyingne? Kama hamna nifanye mambo maana sina mpango nahyo warant,.
Majibu tafadhar bro.
kasema inaweza kuzima mazima
 
Simu yangu ya Huawei 330 nimebongeza kwenye botton ya Builder number wameniambia NO NEED,YOU ALREADY A DEVELOPER.
 
Simu yangu ya Huawei 330 nimebongeza kwenye botton ya Builder number wameniambia NO NEED,YOU ALREADY A DEVELOPER.
Kama imekwambia hivyo maana ake endelea mbele kwa kudownload kingroot ten uiroot iki uwe superuser wa simu yako
 
Kaka naomba nisaidie

Nilifuata taratbu zote za ku-root sim yang tecno y3+

Nika-install KINGROOT
Lakin nikijarib ku-root ila inaishia asilimia ya 70% halaf ina-fai

Naomba nielekez namna ya kuroot hii sim TECNO Y3+
 
Back
Top Bottom