Pole sana.Nakushauri kuacha pombe tu haitoshi bali kama bado hujampa maisha yako Yesu Kristo fanya hivyo then tafuta mtu mwenye hekima awe kiunganisho kat yako na wazazi wako ili awashawishi wazazi wako kukubaliana na mawazo yako.Zaidi ya yote muombe Mungu kwani yeye ni JIBU
Pole sana ndugu yangu. Ningekuwa wewe wala nisinge post hii kitu kwani unaonesha udhaifu wako. Ili ujifunze lazima wewe binafsi ubebe responsibility yote kama mwanafunzi usimtegemee mtu.
I don't like the way we criticize our country. We are the one to make changes. However I do not see any significant difference here as we compare commuter services btn Tanzania and Kenya. Thanks.
Hakuna aliyekamilika peke yake,kila mtu anahijtaji mwenzi wake. Kila anayekosa mwenzi lazima awe frustrated tu though we differ on how we express our frustrations
Mamlaka husika zinatakiwa kuchukua hatua juu za bidhaa mbovu/feki zinazoingizwa sokoni bila kujali zinatoka ndani au nje ya nchi. Mojawapo ya bidhaa zinazoingiwa nchini zilizo chini ya kiwango ni helmet za waendesha pikipiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.