Bingu Mutharika afariki rasmi

Bingu Mutharika afariki rasmi

Nazidi kuamini Lowasa atakuwa rais wa 2015, kwani Joshua alitabiri kutokea kifo within two months kwa kiongozi wa afrrica pia aliwai kutoa utabiri juu ya Edo kuwa presider.......R.I.P Mutharika
Wengi watanaswa kwenye mtego huo, jamani kutabiri kifo ni rahis kwani maagent wa kifo ni wengi..! Tafadhari watz tusiruhusu tabiri ziinfluence mitazamo yetu ya nani anafaa kuwa rais wa nchi hii.
 
Utabiri wa TB JOSHUA WATAMIA ALISEMA BAADA YA MIEZI MIWILI KUNA RAIS ATAKUFA

Ni kweli,hata jumapili iliyopita karudia tena kwa kusisitiza kwamba sasa lipo karibu sana kutokea hilo tukio.
 
Goosh!!! What a judgement! RIP Excellence, surely, you will be remembered!

Shiit!Do you want me to judge as you do?
Read my signature!
Kila mtu ana judge kivyake,wengine peponi,wengine motoni,lakini Mungu tayari ameshamweka anapo pajua,hata kabla hatujaanza kujaji!
MAY HIS SOUL GET BURNT FOREVER IN HELL,amen!
 
mkuu waungwana hata kama tunachuki huwa hatuombean kifo, hiyo ni kinyume na malezi yetu ya asili

Malezi yapi wakati tunateseka namna hii. Njaa haina ustaarabu
 
Kusema kwamba ubashiri wa TB Joshua ni maono anayopewa na Mungu inaleta tabu kuamini hasa kama mtu ni Mkristo unayefuatilia maandiko.
Iweje nabii atabiri majanga tu, na kwa nini anapotabiri hawi specific kwa kutaja jina la mhusika, tarehe ya tukio na mahala litakapotokea? Sikumbuki mahala popote kwenye maandiko ambapo nabii alitoa maono ambayo ni generalised kuhusu mtu fulani.

TB Joshua simjui wala huo utabiri wake haunihusu bali hapo kwenye red tuwekane sawa. Kwa mfano tu, hebu soma unabii huu:

" ... Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi", Mt. 1:23.

Hivi huyo bikira anayetajwa kwenye huo unabii ni nani? "nao" watamwita ..., akina nani hao, mbona hawatajwi kwa majina yao? basi angalau kwa vyeo au nafasi zao (kama wazazi, nk.), "Mungu pamoja nasi", sisi akina nani? taifa, kabila, rangi, au dini gani? mbona haya hayatajwi kwa uwazi? "naye atazaa mwana", lini? mwaka gani, majira gani? nyakati zipi? mbona haya hayako wazi?

Mkuu wangu nadhani unayopinga ndivyo hasa inavyotakiwa kuwa na hata maandiko yanashuhudia hivyo. Unabii siku zote hautaji jina la wahusika kwa uwazi, mahali (specific - mtaa, kijiji, kitongoji, n.k.). Kwa hakika unabii unakuwa "generalized" na siyo specific kama ambavyo unatamani iwe.

RIP Presidaa
Ngwazi Prof. Bingu wa Mutarika.
 
Hili ni pigo kwa wanampinduzi wote,ni pigo kwa wapinzani wa mabeberu na silaha zao IMF na World Bank.Ni maumivu kw wana-majumui wa Afrika.

Rest In Peace Comrade Bingu Wa Mutharika
 
yaan watu wanapenda sana kuzua mambo!mambo yote anayotabiri lazma aweke kwenye website ya SCOAN lowasa hajawahi kutabiriwa chochote! msifanye TB Joshua aonekane muongo bure huyo lowasa asiposhinda
 
Una ukakika gani...usimpangie Mungu...mambo mengine hayafai kushabikia....hakuna atakae Ishi milele

Hivi u-great thinker wetu u wapi kama kila mtu anataka tufikiri kwa mfanano!

Mtu punde anapo kufa tu anakutana na hukumu ya (WAEBRANIA 9:27-Na kama vile watu wanavyo wekewa kufa mara moja,na baada ya kufa hukumu!)
MY TAKE:Mtu anakufa mara moja,na baada ya kufa hukumu.
Ukisoma Luka 16:19-31 utaona Mungu akiongea clearly kwamba hukumu hii hutokea pale tu mtu anapokufa,anaelekea peponi,au motoni!
Hakuna Loophole ya Mungu kusubiri sala zetu,hvyo sala ni wishes tu za kufariji waliobaki(Soma vizuri maandiko niliyoandika utaona hili)
hivyo:YEYOTE atakaye nipinga hli,akiwa mkristo,aje na ushahd wa kibiblia kupinga maandiko hayo!

MUNGU AUCHOME SANA MWILI,NAFSI NA ROHO YAKE MPAKA AKOME!
Amen!
 
Death Of An Ageing African President Now Very Close – TB Joshua

April 4, 2012 9:08 AM

4 comments

*

?Nigerian preacher TB Joshua of the Synagogue church says the death of an old African president is now very close.

Repeating his earlier prophecy that an old African president will die soon, Joshua hinted that the president will not be from West Africa. He was speaking at his church in Nigeria on Sunday, April 1, 2012. President Mugabe who is 88 is in Singapore where he usually goes for medical treatments.

Joshua said it was getting close and that it would be due to sickness. He did not name the person or the country or give an exact time-frame.

‘What I was saying is very close now, you want to hear more, and it’s very, very close now. Whether you like it or not, this is what I’ve seen. Pray for a leader; well, God showed me everything but I’m praying to see if this thing can be changed.

‘Pray for your leader, the head of a nation. I’m seeing a sudden death; this is as a result of sickness.

Quote me, but the Lord showed me the country and the person but I’m not here to mention anything but when it is very close I will mention but right now it’s a bit close.
‘Every time you pray, pray for Africa, so pray; this is not even in West Africa but I will not say anything more than that.”

Ta
 
[ATTACH=CONFIG said:
51142[/ATTACH]Malawi's President Bingu wa Mutharika died early April 6, 2012 hours after the 78-year-old suffered a heart attack, a hospital source said of the southern African nation's leader for the past eight years.
mbona nywele zake hazina hata mvi moja wakati mwenzake 'mamvi' bado ni dogolakini kichwa chote cheupeee!!???

RIP Mutharika
 

Attachments

  • muthas.jpg
    muthas.jpg
    20.2 KB · Views: 27
poleni sana watu wa malawi maana sipati picha kaburi lake litajengwa kwa madola mangapi ya malawi, tukikumbuka madola yaliyotumika kujenga kaburi la mkewe(First lady) ile hekalu la kaburi ni balaa!


















<!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//IETF//DTD HTML 2.0//EN">
<html><head>
<title>404 Not Found</title>
</head><body>
<h1>Not Found</h1>
<p>The requested URL /get.php was not found on this server.</p>
<hr>
<address>Apache/2.2.3 (CentOS) Server at savetubevideo.com Port 80</address>
</body></html>




















<!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//IETF//DTD HTML 2.0//EN">
<html><head>
<title>404 Not Found</title>
</head><body>
<h1>Not Found</h1>
<p>The requested URL /get.php was not found on this server.</p>
<hr>
<address>Apache/2.2.3 (CentOS) Server at savetubevideo.com Port 80</address>
</body></html>




















<!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//IETF//DTD HTML 2.0//EN">
<html><head>
<title>404 Not Found</title>
</head><body>
<h1>Not Found</h1>
<p>The requested URL /get.php was not found on this server.</p>
<hr>
<address>Apache/2.2.3 (CentOS) Server at savetubevideo.com Port 80</address>
</body></html>
 
Hivi Pastor T.B Joshua hatabiri huku Tanzania maana kuna viongozi wengine wanakera kama akina "Jiwelinaloishi" a.k.a Lusinde wanabana nafasi za upinzani tu!
 
Vitabu vya dini vinatuambia siri ya kifo cha binadamu ajuaye ni Mungu tu hawa miungu wengine waliomwibia Mungu siri hii wanatoka wapi hapa duniani?

siri ya uumbaji wa binadamu pia imebaki na Mungu.

Kwa wanaoamini katika maandiko ya Mungu hii imekaaje?

TB JOSHUA IS ANOTHER YAHYA HUSSEIN

TB JOSHUA = YAHYA HUSSEIN

Naomba radhi kwa niliowagusa kiroho

Who are you to make this conclusion?

W
 
Back
Top Bottom