Ukweli niliumia sana usiku huo sikurudi nyumbani kwangu nililala dukan kwngu huko mjin. Asubuhi nikapanga safari ya kurudi kijijin kwa wazazi wangu, nilipofika nyumbani wazazi wakanipokea nikahudumiwa mpaka nikapona. Baada ya kupona wazazi wangu wakanikataza kurudi tena kule. Basi nikaondoka nyumban nikaenda mkoa mwingine kuanza maisha upya
tuanze na hapa duka ulimuachia nani?
polisi baada ya kukupa pf3 walikwambia asante tu tutaonana katibiwe kijijini
tuanze na hapa duka ulimuachia nani?
polisi baada ya kukupa pf3 walikwambia asante tu tutaonana katibiwe kijijini