Ndugu wanajamvi ni karibia siku 2 sasa kitaa hakuna umeme so mambo mengi nahisi yamenipita hasa ktk ulimwengu wa habari.
Hilo sio lengo la mimi kupost ila dhima kuu ni kuuliza ni kweli raisi Robert Mugabe amefariki?maana nimekaa kwenye daladala naenda kwenye mishe ndio kuangalia abiria...
:hatari: hii hali kwa kweli inatisha jamani kwani hawa watu ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolotye ila huku ketu hali ni kinyume kabisaaaaa!!!! Ndio maana walimu wa serikali hasa wa secondary sanaa zinakuwa haziishi,wenyewe wanaita mkukubi(mkakati wa kukuza uchumi binafsi),anasaini ofisini...
Habri wana JF?leo ningependa kushea na wana JF experience yangu then itakuwa topic 4 discussion.
leo jioni wakati natoka kwa mihangaiko yangu kulikuwa na bonge la foleni Tabata kuelekea Tazara.
wakati huo kulikuwa na msururu wa Lory za jeshi (Iveco)kama tano hivi.
wale wanajeshi kuona vile...
Hii ndg nahc umetoa kwenye filamu moja ya Kihindi inaitwa Sainik ila tu umeongezea wife kuolewa na m2 mwingine,but nice plot & somehow u've got touch of creativity especially towards the end of ur story.
anyway nothng 2 coment.
anavyokulalia na majasho na mimate yake ukimuweka sawa asikulalie anakuwa mkali,nimeshawahi laliwa na limama moja neneee ila nilipotumia tips of the fingers kumuweka sawa kuepusha dhahma kwa shati langu alikuwa mkali akijilinganisha na mama mzazi! sijui kwanini watu wazima wanataka kujustify...
wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa uwepo wa mkeo mmekuwa mkijumuika pamoja.
Huyo dada nae kwa upande wake amekuwa huru sana kwako kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.