Atakua mke wa nani ? Angalizo ichangiwe na Great Thinkers Only.

kwanza natoa revange kwa walionisingizia kifo halafu na mimi namteka yule jamaa aliyechukua kifaa changu then nasepa na mke wangu naenda kuishi ughaibuni. Over
 
kwenye hii movie, kwangu imefikia ndo wametangaza emejensi, so bado sijaenda vitani

ngoja waje walotekwa wajibu.
we kongosho wee ,hivi mi na weye ni magreti thinka?embu tukae pembeni wenye bongo zao wamwage razi!
 
Kimsingi na Kisheria kifo chako kilichotangazwa ni Batili, na waliotoa taarifa hizi wanastahili kuhukumiwa coz hawakutoaa taarifa sahihi (Mind you sheria haina oooh mie sikujua) it depends hiyo ndoa ni ya Dini gani, kwa ki kristo, mwana ndoa hutenganishwa na KIFO TU ambacho kimsingi hakijakukuta so Ki Kikristo Techinicaly huyo ni Mke wako ki halali, yatakayofuata ni Mashauri ya Kibinadamu tu, ila kisheria ya Kidini ya Kikristo, huyo ni Mkeo na ndoa ya pili si halali.
Kwa Kiislam, sina uhakika kama wanaruhusu Mwanamke kuolewa na Mume zaid ya Mmoja at the same time, if this is true then technically hata huku Pia Ni Mkeo tu.....
Mwisho kabisa, Hii ni very simple na wala haukupaswa kuanza na Mkwara
 
mmmh! hapo ni utata lkn itabidi uwe mpole usikilize maamuzi ya mwanamke husika
 
Niliwahi kuona/kusoma somewhere kisa kama hiki and it was very touching... Kwa hilo jeshi itakuwa makosa ya kibinadamu mahali fulani, nadhani kwa kesi zisizo na uhakika wahusika wanawekwa kwenye kundi la 'waliopotea vitani' hawahesabiki kuwa ni mateka au wamekufa hadi itakapothibitishwa vinginevyo.. Kwa maoni yangu ukionekana tena, huyo mke ni wako lbd muamue kuachana wenyewe..Vyovyote iwavyo, Wewe utapeta tu kivyako, maana mafao ya kijeshi siyo haba!!
 
sijui na mie ni great thinker ?kwanza kabisa itakuwa bahati mume namba mbili kumuacha mkewe na mke atakuwa kwenye mtihani mkubwa ,hapa ni kuanza kujipanga upya kimaisha ,maybe huyo hakuwa mke mungu aliyekupangia wa kwako yupo..
Ngoja nimuonyeshe Kanumba hii sread tegemea kupata movie yake mwezi ujao..
 
Hii ndg nahc umetoa kwenye filamu moja ya Kihindi inaitwa Sainik ila tu umeongezea wife kuolewa na m2 mwingine,but nice plot & somehow u've got touch of creativity especially towards the end of ur story.
anyway nothng 2 coment.
 
KK magreti sinka vigezo :
> Hawatukani
> Hawajibishani matusi.
> Wapandwapo jazba ikabidi watumie maneno makali, basi huyazimua kwa kuyaweka katika lugha ya stara.
> Hawana quick tempar
> Hoja zenye mashiko, weledi , busara na hekima ndiyo silka zao.

Hizo sifa zote hapo juu sina, ila ntachangia, ngoja nikauchape kwanza alaf nirudi, ukitaka ongea mods wazuie post zangu vinginevyo hutakuwa salama.
 
Hapa pagumu!!
Labda remix ya swali ni kua wewe ulimuacha mkeo na watoto wawili,
Umerudi umekuta kidume kilichorithi mke kimepata watoto wanne ukiacha wale wako.
Hapo utafanyaje??
 
Back
Top Bottom