Siipendi tabia hii

Boifrend anaepiga,kutukana na kulazimisha ku-do utadhani kaoa......inaboa sana!!
 
sana sana kwa kina dada kubip mara kwa mara wakati wanalipia caller tunes, inakera hii

... Teh teh teh ! Unanikumbusha kipindi flan ikifika 6 kamili kuna mtandao ilikuwa unapiga free,lakini bado demu wangu alikuwa
ananibipu nimpigie mida hiyo ya free of charge!!!
... Mazoea mabaya !
 
Sipendi tabia hii. Mtu anakuomba msaada,whatever... Vocha,kiofisi or what... Unamsaidia kwa moyo mmoja,mwisho anakuaga bila hata kusema hata ahsante!...INANIUMA SANA SIJUI KWA NINI!
 
Sipendi tabia hii. Mtu anakuomba msaada,whatever... Vocha,kiofisi or what... Unamsaidia kwa moyo mmoja,mwisho anakuaga bila hata kusema hata ahsante!...INANIUMA SANA SIJUI KWA NINI!

Hiyo inaitwa tenda wema nenda zako...
 
Demu unatoka naye na unakutana na rafiki zako unatoa intro genuinely....from there yeye ndo muongeaji kupita nyi mnaofahamiana......kama ni vnywji yeye anamuita waiter anazungusha and wakati wa kulipa ndo honey lipa tutimue zetu......m sleepy now
 
Tabia ya mistrust... kila saa maswali ya uko wapi? uko na nani? unafanya nini?.... kwangu siipendi

Halafu na tabia ya kujibu "niko sinza, niko na bundewe, huyu hapa uongee nae....." ni dalili ya kujishtukia.
 
kama una hasira za haraka unamtwangwa kibao.

anavyokulalia na majasho na mimate yake ukimuweka sawa asikulalie anakuwa mkali,nimeshawahi laliwa na limama moja neneee ila nilipotumia tips of the fingers kumuweka sawa kuepusha dhahma kwa shati langu alikuwa mkali akijilinganisha na mama mzazi! sijui kwanini watu wazima wanataka kujustify wrong deeds zao kwa kigezo cha ukubwa!
 
Tabia ya wasichana kuomba omba vocha

"Honey, simu yangu haina credit,
naomba uniongezee..........."


Ningekuwa kidume ningewajibu "Pambaf....... kamuombe baba yako"

Wewe ni tabia gani inakukerai?

Kumsalimia msichana akakubundia kuitika salamu! Sijui hua wanafikiria nini !
 
Back
Top Bottom