Recent content by Kishongo

  1. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Afukuzwa kazi baada ya kujiunga na CHADEMA

    Hiyo shule aliyokuwa headmaster ni mali ya CCM. So mwenye kampuni ana uwezo wa ku-hire na ku-fire. Akamlilie Slaa.
  2. Kishongo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

    Acheni woga, hizi ni rasharasha tu, mvua zenyewe bado. Kama mmeanza kuweweseka hivyo, mvua zikianza si mtazimia?
  3. Kishongo

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Kutokana na mambo kuwa magumu Green Guard waanza mazoezi

    Huyu Crashwise alikuwa akiandika ***** kama huu wakati wa uchaguzi wa Igunga. Anaonekana ni mtaalam wa kutunga story za kijinga ili asifiwe na magwanda. Hana ushahidi wa ****** alioweka hapa. Tumezoea usanii wako.
  4. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Chadema, CCM yametimia

    Si vizuri vilaza wanaoigiza uzalendo wakajilinganisha na Mwl Nyerere. Nyerere ndiye mwasisi wa CCM.... Sera za majimbo za CDM zilipigwa vita na Nyerere tangu uhuru.
  5. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

    CDM msituletee umwagaji damu kama mlivyofanya Igunga. Amani mliyoikuta Meru iacheni. Inaonekana mmeanza kutapatapa, ... na bado....jimbo la ARUMERU mtalisikia redioni kama ilivyokuwa kwa majimbo mengine ya Igunga na Uzini. Ama kweli, CDM ni full shari.
  6. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Sioi Sumari achaguliwa na CCM kumrithi baba yake Arumeru Mashariki!

    Bush senior na George Bush, former Pres Clinton na Madame Clinton, Indira Gandhi na Rajiv Gandhi......and the list goes.
  7. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Dr Kamala aitetea PhD yake!

    This is recycled rubbish aimed at achieving character assassination. You could post something better.
  8. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Na wewe mkuu una roho ngumu kumtetea mtu kama Lema. Ni output gani ametoa? kuhamasisha vurugu na kuvuruga utendaji wa manispaa ya Arusha? Unamwona shujaa kwa hilo? Mimi bado naamini kuwa Lema anafanya hivi vitimbi na viroja kutokana na elimu yake ndogo. Unamkumbuka alipohojiwa na Chanel 10...
  9. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Nape adandia digrii za kibongo zinazomea kama uyoga

    He is showing the way..... half cooked potatoes in cdm can borrow a leaf.
  10. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Chadema Arusha wasusia kikao cha Madiwani

    Malipo yao ni 2015. HATUDANGANYIKI TENA KUWAPA KURA WASANII, WAPENDA MIGOGORO.
  11. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Athubutu kupeleka NECTA cheti cha diploma yake feki aone kama hajafunguliwa kesi ya kughushi.
  12. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa hajui kutofautisha mvao wa kichama na wa shughuli za kitaifa?

    Hali ya kifedha ya Slaa kwa sasa si nzuri kuweza kununua suti. Hii imetokana na kubanwa na TRA kurejesha pesa ya kodi aliyokuwa akikwepa kulipa kwenye posho zake. Kwa sasa posho inakatwa kodi, familia imeongezeka, hivyo haitatosha kununua suti. Magwanda ndo kimbilio ili kumlinda katika uvaaji.
  13. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Mipango ya kupata umeme, maji, barabara na afya hufanywa na wasioenda shule? Mwishoni tutaishia kutetea ujinga kwa nguvu zote.
  14. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Sina uhakika na unalosema. Ila nijuavyo mimi kuna tofauti kati ya aliyesoma na asiyesoma. Kwa mfano, kama Lema angekuwa ameenda shule, asingekuwa anafanya baadhi ya mambo ya kitoto anayofanya sasa kama ya kujipeleka gerezani ili apate mtaji wa kisiasa.
  15. Kishongo

    JamiiForums Tanzania Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

    Aliipataje diploma wakati hakumaliza Form Four? Hiyo itakuwa ya kuchakachua.
Back
Top Bottom