Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

Acha chuki na Lema, si dada yako kapewa ubalozi japo Arusha walimkataa. Umeshafika Nairobi?
Huu ni ujumbe tosha kwa Mbunge Lema.
Yafaa aige wanavyofanya wanasiasa wenzake na yeye angalau aboreshe hako ka Form Two kake.
 
Kwani ni viongozi wa chama kilichoko madarakani tu ndo wanatakiwa kutunukiwa? Maana kila kukicha nasikia magamba tu ndo wametunukiwa

Acheni Majungu, mwacheni apate Masters yake. Wa TZ hatuna mentality ya kujituma na kufanya kazi kwa bidii, sasa mtu akifanikiwa kimasomo katika mazingira ya kuwa na majukumu mengine halafu anasoma mnaanza kuuliza kilikoni. Fanyeni kazi, Unaeza ukawa busy na kazi na bado ukasoma tu.
 
Kwani ni viongozi wa chama kilichoko madarakani tu ndo wanatakiwa kutunukiwa? Maana kila kukicha nasikia magamba tu ndo wametunukiwa

Acheni Majungu, mwacheni apate Masters yake. Wa TZ hatuna mentality ya kujituma na kufanya kazi kwa bidii, sasa mtu akifanikiwa kimasomo katika mazingira ya kuwa na majukumu mengine halafu anasoma mnaanza kuuliza kilikoni. Fanyeni kazi, Unaweza ukawa busy na kazi na bado ukasoma tu.
 
Nadhani tuwe na wasiwasi na shahada hizi za Mzumbe maana Nape hakumaliza kozi work na mda wote alikuwa kwenye siasa ,sasa ameweza vipi kupewa hiyo shahada? Nadhani Mzumbe mchunguze maaana mie nafahamu alivyoanza kusoma ,labda ndo hizi za anayejiita dr.kamala
 
Huu ni ujumbe tosha kwa Mbunge Lema.
Yafaa aige wanavyofanya wanasiasa wenzake na yeye angalau aboreshe hako ka Form Two kake.

Ha ha ha !!! Nimeipenda sana hii, Lema Upooooooooooooooooo........... Take action achana na u...........
 
Sina uhakika na unalosema. Ila nijuavyo mimi kuna tofauti kati ya aliyesoma na asiyesoma. Kwa mfano, kama Lema angekuwa ameenda shule, asingekuwa anafanya baadhi ya mambo ya kitoto anayofanya sasa kama ya kujipeleka gerezani ili apate mtaji wa kisiasa.

chenge ameenda shule hafanyi mambo ya kitoto yuko busy analiibia taifa.
FYI matatizo mengi ya Tanzania hayaitaji degree kama unavyofikiria wewe bali ni COMMON SENSE mahitaji ya watanzania wengi
ni maji, umeme, barabara, huduma za afya na kadhalika haziitaji degree kuweza kuzitambua na kuzitatua.
 
Mipango ya kupata umeme, maji, barabara na afya hufanywa na wasioenda shule?
Mwishoni tutaishia kutetea ujinga kwa nguvu zote.
 
Wakuu,

Hii ya Nape ni live, unajua Mzumbe si wna zile evening programes...... ingawa quality yake sina hakika nayo sana

Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo.

Hiyo MA disertation unaweza hata kumpa mtu pesa akakuandikia, shida ni course work.

Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kama kweli amefanya bidii jioni akaingia darasani na usiku akaacha kwenda kwenye starehe akabaki anagumba na kitabu ili kupata hiyo degree kuna tatizo gani? Hongera nape ingawa mimi sio magamba mwenzio
 
MHESHIMIWA NAPE, WELL DONE AND CONGRATULATIONS!!!! (Bora wewe maana wenzako wananunua PhD on line)

Iga mfano wa magufuri
 
Kwani Masters ya Tanzania ina maana gani kwenye jamii kama sio just a previledge za kishenzi tu.
Masters za makaratasi zinatija gani hapa Tz kama sio kuongezewa mshahara,posho etc lakini ukiuliza umefanya tafiti hipi hamna.
Bora huku kwetu kupata MA mpaka udhibitishe kwa vitendo na jinsi gani jamii itanufaika.
 
siku ina masaa 24,Hongera sana Nape[/QUOTE

Don't fool your yourself or us, are you aware what it takes in terms of time and tranquil environment to prepare a thesis?
Subiri Msemakweli aipate, atamsubiri atakapokuwa dr.
 
Diploma, degree, masters, phd, professor! So what? Inatusaidia nini? Wengi tumewaona na phd, professors lakini hakuna mabadiliko yoyote! Naona ni utaratibu tuu! Nenda Morogoro kwa mfano badala ya maprofesor kubobea kufanya tafiti mbalimbali za maendeleo ya kilimo, wao ndo wanaongoza kwa kufungua bar na gest house!
Hata kama angepata Shahada ya Uzamivu ya Mbinguni na akakabidhiwa na Jibril kwa niaba ya Mola la msingi ni OUTPUT yenye MANUFAA KWA TAIFA.

Kama atasimama pamoja na umma kwa maslahi ya taifa HONGERA ZAKE tena HONGERA SANA! Ila kama atakula na kuchovya tonge pamoja na mafisadi kwa hasara ya taifa letu basi shahada hizo ni upupu tena ni zaidi ya kelele za vuvuzela livumalo bila manufa yoyote.

Tunasubiri kuona atasimama upande gani tena kwa matendo thabiti na si kwa maneno matupu.
 
Jamani,ni jambo lililo wazi kwamba kuwa na elimu kubwa bila uadilifu ni hasara tupu kwa taifa!
Dr.Balali(marehemu??) ana digri 3!
Peter Kafumu,aliyekuwa kamishna wa madini,ana digri 3!
Lakini ebu tujiulize,watajwa hapo juu na wengineo wamesaidiaje taifa hili kujikwamua kiuchumi?
Mwl.Julius Nyerere hakuwa na PHD lakini kila mtu mwenye macho anaona mchango wake kwa TANZANIA na kwingineko duniani!
Nelson Mandela ni DR?
Nachelea kuamini kwamba masters aliyoipata NAPE ita-improve utendaji wake,zaidi ya kumfanya kuwa "Vuvuzela lenye masta digri"
 
Ningekuwa Professor nisingekubali atunukiwe,kwa sababu Dissertation atakuwa kaandikiwa.Na kwa sababu ni kiongozi wa Umma,ningelinganisha hiyo dissertation na output ya kile anachikifanya kwenye jamii sasa.Ame-fail falsafa ya kuvua gamba,chama kinadhoofika kila uchao,Mwenezi anatakiwa kueneza sera za chama,sasa yeye kutwa kufuatilia wapinzani wanafanya nini ili aseme,s.tyuspid na digrii yake.Lakini hata Kujieleza hawezi kutetea kile anachikisema,rejea mdahalo wake siku ile Movenpick akiwa na Jussa na Marando,alishindwa kusema falsafa ya chama chake,achilia mbali kukitete na kuitetea falsafa hiyo!!Masters degree sio kirahisi hivyo jamani,au amepewa ya heshima kama ya Dr.Dr.Dr.Dr. JK nini?
 
Back
Top Bottom