Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe

Wanajamii

Vyema pale tukatoa pongezi hata kwa watu tunaopingana nao wanapofanya vizuri. Hivyo basi Nape anastahili kupongezwa kwa kumaliza hiyo digrri ya pili

Hata hivyo namshauli Bw. Nape kufanya analysis ya mambo akizingatia kwamba ana digrii ya pili na siyo kwa lengo la kuwafurahisha wakubwa wake

Hongera Nape
 
Kishongo umechemka sana mkuu,hivi TZ wasomi wako wapi?kama wapo mambo yasingekuwa hivi,mimi usomi wa cheti ambacho ni karatasi sioni kama ni kusoma,kusoma si tu kuwa na madigrii tena yenye kithibitisho cha karatasi ambacho wengi wamechakachua na wakalingana na waliosoma kama unavyodai na utaona kwamba utendaji wao wa kazi ni the same,sasa unapomkosoa Mh Lema eti hakusoma na ndio maana alijipeleka gerezani mi naona ni upunguani,na kwa taarifa yenu Mh Lema katika uongozi ni zaidi ya Nape na wengine mnaowasifia wamesoma.kusoma ni kunathaminiwa kwa output bwana sio karatasi kwa maana ya cheti
 
Na wewe mkuu una roho ngumu kumtetea mtu kama Lema.

Ni output gani ametoa? kuhamasisha vurugu na kuvuruga utendaji wa manispaa ya Arusha? Unamwona shujaa kwa hilo?

Mimi bado naamini kuwa Lema anafanya hivi vitimbi na viroja kutokana na elimu yake ndogo. Unamkumbuka alipohojiwa na Chanel 10 kuhusu kuondoa msongamano wa magari Dar akajibu kuwa 'INABIDI KUJENGA SKY OVERS'!!!......endelea kumtetea tu lakini ukweli ni kwamba huyu dogo anatakiwa kurudi shule.
 
Kwani Masters ya Tanzania ina maana gani kwenye jamii kama sio just a previledge za kishenzi tu.
Masters za makaratasi zinatija gani hapa Tz kama sio kuongezewa mshahara,posho etc lakini ukiuliza umefanya tafiti hipi hamna.
Bora huku kwetu kupata MA mpaka udhibitishe kwa vitendo na jinsi gani jamii itanufaika.

Huko kwenu Iringa Municapal?
 
kwa mzumbe siilikuwa wiki kama mbili hivi zilizopita ni mzumbe ipi hasa unaongelea..

Mzumbe ziko tatu, now ni 4, main campus moro, dar, Mbeya na sasa Mwanza zote hufanya graduu kwa nyakati tofauti, so bwana m,kubwa kapatia dar.
 
Shahada ya kwanza ni feki, atawezaje kupata ya pili? Kule India Nape alikuwa hasomi. Alikuwa analanda tu.
 
Nape Atunukiwa Shahada Ya Pili Ya Utawala Mzumbe
Submitted by Mjengwa on 16.12.11

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipongezwa na mama yake, Kezia Alfred, baada ya kutunukiwa shahada ya pili ya uongozi katika mahafali ya kumi ya Chuo Kikuu Mzumbe, leo.

Mkuu unamaanisha alikuwa na shahada moja ya uongozi kabla? Kama ndivyo unavyo maanisha, basi wameamuakumpa hiyo ya pili maana wanaona ile ya kwanza haimsaidi kitu kabisa. Mambo anayoyafanya hayaendani kabisa na mtu mwenye shahada ya aina yeyote ile! Wambembe tu kwa kuilinda heshima ya (mzee Nnauye) baba yake.
 
Muda kidogo tu utasikia Dr. Nape. Maana huko magambani udokta ni dili!
 
Labda alipokuwa kwenye kampeni na kwenye zoezi la kuvuana gamba labda mwenzetu ndio alikuwa kwenye data collection kwa ajili ya dissertation yake. Cha msingi atuanikie kitabu chake ili tusiendelee kumhukumu kuwa alipata muda wa kusoma saa ngapi wakati akiwa kwenye shughuli za chama chake na kampeni. Nawakilisha
 
Back
Top Bottom