Nape adandia digrii za kibongo zinazomea kama uyoga

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,884
6,885
3.jpg
 
Du mbona nawaona waandishi wa habari hao wanampongeza? Vp ameipatia Upendo Centre nini? Kwahyo ni Dr.Nape sasa hivi?
 
sina hakika kama alikuwa anaingia darasan evining class ila kwa mzumbe mara nyingi hawachakachui degree
kwa hiyo sina mashaka sana,nampa hongera aitumie elimu hiyo kuleta mapinduzi na sio kushabikia siasa uchwara ili ashibe.
 
mbona hapo naona anapokea card ya christmas au ndo vyeti vya bongo vilivyo?
nasikia kapata masters ya mambo ya utawala, hii ni moja kati ya zile masters "voda fasta" maana unakamata masters kwa kipindi cha miezi nane nayo ni part time, unit zenyewe ni saba tu, ongera bwana nape kwa kutoka na kitu vodafasta voda chapchap ya pale mzumbe
 
Back
Top Bottom