Watanzania tuamke, tujifunze kwa Wamarekani kila mtu anapaswa kueleza ataifanyia nini nchi yake na sio nchi itakufanyia nini.
Hapo umenena mkuu.Ila hila zote za udini na ukabila tuzilaani.
Watanzania tuamke, tujifunze kwa Wamarekani kila mtu anapaswa kueleza ataifanyia nini nchi yake na sio nchi itakufanyia nini.
Mkuu, JF sio kijiwe cha mbege usiwe unaokota maneno mtaani bila facts wala data za kutosha unaleta JF, weka ushahidi wa maneno yako!
Mtatoka roho mwaka huu.Mmeona udini hauna nafasi Arumeru mmekuja na kampeni za ukabila.Shame!
Ila kuchochea udini na ukabila kila wakati wa kampeni ndio utamaduni?
Huna kingine cha kuandika zaidi ya hayo maneno mawili..UDINI na UKABILA?Hapo umenena mkuu.Ila hila zote za udini na ukabila tuzilaani.
Huna kingine cha kuandika zaidi ya hayo maneno mawili..UDINI na UKABILA?
Watanzania tuamke, tujifunze kwa Wamarekani kila mtu anapaswa kueleza ataifanyia nini nchi yake na sio nchi itakufanyia nini.
Huyu jamaa kwa kweli uwa namshangaa halafu ukimuliza tafsiri ya udini ni ni asemi.
Hata kama waliibiwa au hawakuibiwa kura! Huoni matokeo ya Igunga na Uzini yanaonyesha improvement kwa CHADEMA?Sijui unataka data gani labda nikupe hii, matokeo ya uchaguzi mdogo wa majimbo mawili, Uzini, Igunga! au utasema Chadema waliibiwa kura?
Wanabodi..
Mwenendo wa kisiasa, kati ya watani wa jadi CCM na Chedema sasa umeanza kuzua mijadala ndani ya jamii.
Wananchi wanahoji iko wapi kasi na upepo wa mabadiliko ilikuwa nao Chadema mwaka 2010 na mwaka jana ilikoyeyukia.
Huku CCM kilichokuwa kimeanza kudorora sasa kikionekana kupaa zaidi kuliko ilivyotarajiwa na wengi.
Mwamko wa Chadema ulianza kushika kasi mara baada ya Slaa, kuteuliwa kugombea Urais, mwamko huo uliendelea hata baada ya uchaguzi, na hasa baada ya chama hicho kuamua kufanya siasa zake kwa njia ya maandamo mikoa ya Kanda ya Ziwa hadi Nyanda za Juu Kusini.
Wadadisi wa mambo ya kisiasa wameanza kuhoji ni wapi kasi hiyo imeyeyeka ghafla na kukipa nafasi tena CCM kuanza kutamba katika maeneo mbali mbali nchini.
Hali hiyo ya kuanza kudorora kwa Chadema imelezwa pia kukikumba chama cha CUF kupoteza mvuto.
Chadema inatakiwa ibadili sera zake na falsafa mpya za kuendelea kuwashawishi Watanzania.
Hata kama waliibiwa au hawakuibiwa kura! Huoni matokeo ya Igunga na Uzini yanaonyesha improvement kwa CHADEMA?
Ukichukulia kwamba ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa CHADEMA kusimamisha mgombea maeneo hayo? Au analysis zako unazifanyaje?
Mimi nimekunywa maji ya bendera ya mwl Nyerere,uchochezi wa udini na ukabila kwangu ni laana kubwa.Nimejitolea kuwa kamanda wa kupambana na laana hii
NiHivi kupata kura 281 kwenye kura 5.903 na kupata Asilimia 4.8 ndio improvement? wakati mshindi kapata kura 5,377 sawa asilimia 91.1
Mkuu Mkeshaji,
Huu ndio ukweli unajua kila siku unapiga kelele za ufisadi ufisadi, zimewachosha watanzania lazima Chadema kama chama ibuni falsafa mpya kutegemea kuhubiri ufisadi kama kete yake haitakisaidia Chadema huko tuendako.
Hivi kupata kura 281 kwenye kura 5.903 na kupata Asilimia 4.8 ndio improvement? wakati mshindi kapata kura 5,377 sawa asilimia 91.1