Mwanaume unaweza kuchepuka na mwanamke yoyte yule anaeweza kusababisha dudu lisimame regardless ni mzur au mbaya kuliko mkeo...
Lkn kwa mwanamke ni tofaut kidogo wao wanachepuka na mtu ambae ana uwezo wa kumreplace mume wake kulingana na kitu ambacho anakihitaj kwa wakat huo either pesa mapenz
Aongee nn sasa wakat jalada tayar liko mahakaman????
Unadhan kila mtu anaropoka hovyo tu kama anavyofanya salome wa magu????
Usidhan siku zote hzo tangu atoke ni ww tu ndio hujamskia... Weng hatujamskia akiongea lolote lkn hakuna alieinua kisim kuhoji kwa nn haongei tena coz tunajua kwamba jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.