Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,205
- 14,131
Mkuu nenda Instagram utaiona... yahusu ulinzi na walinzi wa Mkuu polipoli amerespond hukohuko.Mange alisemaje Mkuu Salary Slip ? Ndugu Polepole naye amesemaje?
Mkuu nenda Instagram utaiona... yahusu ulinzi na walinzi wa Mkuu polipoli amerespond hukohuko.Mange alisemaje Mkuu Salary Slip ? Ndugu Polepole naye amesemaje?
Ulikoniambia hata sipajui. Nauli ya kufika ni kiasi gani?Mkuu nenda Instagram utaiona... yahusu ulinzi na walinzi wa Mkuu polipoli amerespond hukohuko.
Hahahahhhh nimecheka sana... nauli couple of cents MkuuUlikoniambia hata sipajui. Nauli ya kufika ni kiasi gani?
ovyo kabisa.CHADEMA chali kwa Mara nyingine uwanja wa nyumbani, tunawaachia watambe viwanja vya ugenini
Mkuu upo incompetent kuliko wale jamaa wa kurugenzi ktk kujibu hoja. MANGE NI VERY AUTHORITATIVE SASA HIVI .NA HIYO ILITOKANA NA IKULU KUWA NA KURUGENZI DHAIFU SANA.SASA MNAJIFANYA HAMTAKI KUONGEA.SUBIRI AENDELEE KUPIGA MARUNGU, NDIO MUANZE KUKURUPUKA TENA HALAFU IWE TOO LATE. MKIJA KUANZA KUKURUPUKA MTAKUWA MNA PIGIA SAHIHI ANAYOPOST. Kuna haja ya ikulu kuwa na watu wenye weledi tena sana, na iwe timu yenye watu wenye utaalamu wa maeneo mengi sana. hii itapunguza majibu ya hovyo na uongo wa kitoto. Angalau basi tutunze heshima ya ile office.kwani mange ndio msemaji wa wa watu siku hizi..siasa hizo zinamfaa aliyejibu!!
kwanza seriklali haiwezi kumjibu mange?...itamjibu kama nani?!!
Polepole hajwahi kuwa kuwa smart. Ni kwamba anakuwa upande mrahisi. Issue ya katiba ilikuwa sensitive kwa watz kiasi cha kufanya watz waone upande mzuri tuu wa polepole.Na hii ndio shida ya waafrica na wenzao wa asia. Hisia za umma wa huwa very biased, ukiwa kizuri wana switch off sensor zote za upande wako mbaya, hata km huo ubaya ni ubaya haswa in the sense kwamba una madhara ya mbaya yasiyozibika. Tatizo kubwa ni hao wanaobebwa na hizo hisia kutojitambua kwamba hisia ndio zimewapa free ride na hivyo wanahitajika kujiongeza na kujiweka ktk mazingira ya kuishi bila huko kubebwa. Ndio maana ni kawaida sana, mtu aliyepata degree za kihuni kujisifu kwa vyeti, badala ya kujiongeza na kupambana ili kuziba mapungufu ya elimu yake.Mange akili kubwa... Polepole huyu hawez kujibu hoja za Mange hata siku moja labda polepole wa kipind kile cha katiba
Km amekosa sheria ndio zinaamua km kuna msamaha, ila sio hisia na maono binafsi.Km hana kosa basi hana cha kuhitaji msamaha.Polepole ni babu, hivyo mambo mengine ni kumsamehe.
Sawa mkuuKm amekosa sheria ndio zinaamua km kuna msamaha, ila sio hisia na maono binafsi.Km hana kosa basi hana cha kuhitaji msamaha.
Kamuulize harakaharaka aliyemjibu tuhuma za MangeAisee! Mange?
Hivi we kijana una akiki kweli? Yani hii nayo ni habari,?
......
Unajua maana ya serikali as distinct from chama tawala?Serekali makini haiwezi jibu propaganda
Hiyo ni kazi ya chama kilicho wekwa madarakani kujibu hizo maneno ya uongo
Mkuu huyu kijana sijui mzee!Tangia alipotenda dhambi ya kuwakana watanzania na kuikana nafsi yake kwa kuirudia sisiemu,nataka kuamini kuwa hajielewi tena!Huyu si yule aliyekua anatoa na kutetea hoja wakati wa bunge la katiba hadi unatamani kumpigia makofi hata kama hakuoni wala kukusikia!hajitambui tena huyu!!!!!!!!!!!!!Salary Slip,
Nakuunga mkono kwa kuliona hilo. Nilichogundua ni kwamba, Mange Kimambi (kama non state actor) huwa anakuwa na information ambazo ni valid na huwa zinaigusa serikali. Swali langu ni kwanini awe anajibiwa kwa kukanushwa tu na mtu yeyote? Why not the government? Kwani ulinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni tangu lini likawa swala la chama hata kama ni tawala? Kwanini Polepole asiwe anatafakari ni lipi ajibu na lipi lijibiwe na serikali? Anapoibuka kujibu na huku anasema chama kazi yake ni kuiwajibisha serikali, ni vipi ataiwajibisha serikali anayoisaidia kuitolea majibu? Nafikiri kuna shida mahali fulani kama siyo hulka ya kujipendekeza inayomea miongoni mwa watanzania kwa koti la uzalendo wa kinafiki.
Gharama ya kumpata,inatosha kuwapa CCM hasara kubwa sana.Gharama ya kumpata Zitto, Dr. Slaa na le profeseli ambaye hakuna project anayoweza fanya kwa ufanisi under minimimum supervision ,ukilinganisha na ccm wanadhani ni faida ndipo utapoona jinsi ccm wanafanya kazi za hasara halafu bill kwa wananchi. Ikifikia mahali mananchi hawawezi lipa hizi hasara CCM haitoweza jiokoa tena.Kwa vile wananchi hata ukiwauwa hawana tena cha kuipa ccm. Huwezi kuwa na kibaraka ktk upinzani ambaye unahitaji polisi mfiisha eneo la kazi, unahitaji kila mamlaka kufanya nae kazi ili akupe faida kiduchu. Sasa si bora ufanye kazi mwenyewe tuu?Mtu haaminiki.Naombeni mnisaidie kunijulisha kiongozi mkubwa tuliyeahidiwa na Polepole anahamia ssm
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ngome ya ccm huko Kenya imepigwa chiniCHADEMA chali kwa Mara nyingine uwanja wa nyumbani, tunawaachia watambe viwanja vya ugenini
Huku hakanyagi yule maana tutamrarua kwa hojaPolepole hawezi tena kuja humu jf , ashazoea kuongea na kupigiwa makofi , na kujibu maswali ya kupangwa .