Mbowe, Zitto Kabwe na Lowassa tafuteni cha kufanya its over!

Binafsi nilitegemea mshitakiwa namba 1 wa mahakama ya mafisadi angekuwa yeye, hadi sasa bado mnafanya pologanda? fanyeni kazi watanzania tumeshaelewa, hapa kazi tu majungu mwisho, kama mwizi mahakama zenu polisi wenu majaji wenu bado mnapiga kelele tu, fanyeni kazi bana kama kazi imewashinda pisheni.
 
Habari mpya. Unga mtaani kwako bei gani paketi LA kg 25? Kwetu ni sh 45000. Ni upungufu sio njaa maana tunanunua pesa tunazo. Asanteni
 
Wewe ndo ujitathmini wenzio hiyo ndio ajira yao wanamaisha makubwa haijalishi wameshinda au wameshindwa wanakula bata kama hujisikii kajinyonge unafikir Lowassa ananjaa kama wewe unaelipwa buku jero? Lowassa kaanza siasa kabla baba ako hajamchumbia mama yako unajua kapitia mangapi? Au Leo katibu mwenezi Mr. Slowslow amekununulia chips na mayai ya kuku wa kisasa hivyo ukaona uje jf wakati Lowassa anaweza kula Baga, Farmajo, at any time! You Lumumbian hurrigan don't show envy to my soul presda His Excellence Edward Ngoyai Lowassa! stay tuned to your satanic leaders
 
Kweli inaonyesha unaudhaifu sana ktk mawazo yako!!kwao hiyo ni kazi,je wewe ukiambiwa uache kazi unatoifanya na umeaajiriwa kwayo utaiacha?
Ushawahi kuona mtu. Anashangilia. Ujinga. Bas Ndio huu. Niliwahi kusema watu wengi wa tz. Hatujuwi nn maana ya. Kazi ya upinzani. Bunge. Hata ukosowaji wa serikali. Leo. Mulize mtoa mada. Je. Nani. Alimpa habari magu. Kuteuwa. Mkuu wa kitengo cha drugs. Ni. Mpinzan wao walikuwa na vikao. Kila mara vya siri Na dhahir lakin walishindwa kumpa ushauri hui sasa je kama upinzani kungekuwa hakuna. Ingetokea lini ??
Kweli inaonyesha unaudhaifu sana ktk mawazo yako!!kwao hiyo ni kazi,je wewe ukiambiwa uache kazi unatoifanya na umeaajiriwa kwayo utaiacha?
 
Moja kati ya sifa kubwa ya Binadamu ambaye anastahili kuitwa clever, ni uwezo wa kujua ni wakati gani hasa unapaswa kuachia na kufanya mengine, Mlm.Nyerere ni mfano halisi alijua ni wkt gani muafaka wa yeye kuachia na kufanya mengine na alifanikiwa sana kwenye hili!

Sasa nawashauri sana watu kama Mbowe, Zito Kabwe na Lowasa hakuna wakati muafaka wa ninyi kuachana na Siasa kama sasa hivi, kwani mmefanya mengi kulingana na uwezo wenu na mmeshafikia peak ya uwezo wenu na hakuna kipya mtakachofanikiwa tena!

Mbowe una mchango wako mkubwa tu chadema na upinzani kwa ujumla atakayebisha hili ana matatizo lkn umefikia ukomo na hakuna jipya tena utakalolileta chadema zaidi ya kubomoa ona sasa unaambiwa unauza Madawa kulevya na hakuna anayekataa wala kukubali hilo kwa 100% hivyo unahisiwa, Zito Kabwe kulikuwa na wakati ulikuwa nyota hasa kwa vijana wkt upo chadema uling'ara una mchango mkubwa sana chadema na Upinzani kwa ujumla kuna vijana wengi walijiunga Upinzani kwa ajili yako lkn pia nasikitika kukwambia kwamba graph yako imeshafikia peak na sasa inashuka na hakuna kitu utafanya hivyo it's time to quit na fanya mengine hakuna miujiza asikudangane mtu huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma na kama ulikuwa unatafuta ushahidi wa hili ni Chama chako cha ACT kimeshindwa ku-take off na kina Mbunge mmoja tu, umeshindwa kushinda hata Kata moja kwenye uchaguzi ulioisha ingawaje ulifanya Kampeni ya kufa mtu hivyo hakuna kipya utafanya it's time to go man, Lowasa vivyo hivyo kubali yaishe, kama ulikuwa bado haujakubali mpaka sasa hivi hata baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa ...

Umewapa ukweli wao, na kama wana busara wataukubali wasia wako. Nina uhakika watapuuza hawatakusikia kwani wao siasa ni pesa nasio what they believe. Ni biashara, siasa kwao inakuja na deals, ni shamba la kuvuna, utajiri bila jasho. Lakini kwenye hii serikali ya tano, soko limekufa. Lowassa aende akawe mkulima na mfugaji kama alivyoahidi wakati wa campaign. Zitto atafute kazi 9 to 5 he is still young. Lakini siasa asahau, he can not be trusted. Watu hawana imani naye kabisa, hana ushawishi wowote. Mbowe sijui anatafanya kazi gani, kwenye siasa haaminiki haswa alipodeclare ya kuwa jengo la NHC ni lake na kumbe uwongo, na pia alipoonekana amelitumia jengo hilo kama lake binafsi, Mali ya Watanzania wote, wengine hawana uwezo hata wakununua maji safi ya kunywa, yeye amelalia kodi ya jengo hilo kwa mabilioni ambayo yangeweza kuchimba visima vya maji. Mbowe ni selfish, mpiga deal, hafai kabisa hata kuwa mpinzani, hana cha kupinga. In fact amewashushia heshima wapinzani kwa kuwa yeye ndiye mkubwa wao, na kwa kuwa anatafutwa na polisi pengine ahepe awe mkimbizi, sio America, Trump watu kama yeye hawataki kabisa. Labda nchi jirani Kenya, lakini huko kuna wajanja kumshinda yeye hatachukuwa round. Ajisalimishe tu ainue mikono juu atubu mazambi yake, arudi migombani akalime.
 
Moja kati ya sifa kubwa ya Binadamu ambaye anastahili kuitwa clever, ni uwezo wa kujua ni wakati gani hasa unapaswa kuachia na kufanya mengine, Mlm.Nyerere ni mfano halisi alijua ni wkt gani muafaka wa yeye kuachia na kufanya mengine na alifanikiwa sana kwenye hili!

Sasa nawashauri sana watu kama Mbowe, Zito Kabwe na Lowasa hakuna wakati muafaka wa ninyi kuachana na Siasa kama sasa hivi, kwani mmefanya mengi kulingana na uwezo wenu na mmeshafikia peak ya uwezo wenu na hakuna kipya mtakachofanikiwa tena!

Mbowe una mchango wako mkubwa tu chadema na upinzani kwa ujumla atakayebisha hili ana matatizo lkn umefikia ukomo na hakuna jipya tena utakalolileta chadema zaidi ya kubomoa ona sasa unaambiwa unauza Madawa kulevya na hakuna anayekataa wala kukubali hilo kwa 100% hivyo unahisiwa, Zito Kabwe kulikuwa na wakati ulikuwa nyota hasa kwa vijana wkt upo chadema uling'ara una mchango mkubwa sana chadema na Upinzani kwa ujumla kuna vijana wengi walijiunga Upinzani kwa ajili yako lkn pia nasikitika kukwambia kwamba graph yako imeshafikia peak na sasa inashuka na hakuna kitu utafanya hivyo it's time to quit na fanya mengine hakuna miujiza asikudangane mtu huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma na kama ulikuwa unatafuta ushahidi wa hili ni Chama chako cha ACT kimeshindwa ku-take off na kina Mbunge mmoja tu, umeshindwa kushinda hata Kata moja kwenye uchaguzi ulioisha ingawaje ulifanya Kampeni ya kufa mtu hivyo hakuna kipya utafanya it's time to go man, Lowasa vivyo hivyo kubali yaishe, kama ulikuwa bado haujakubali mpaka sasa hivi hata baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa ...

Umewapa ukweli wao, na kama wana busara wataukubali wasia wako. Nina uhakika watapuuza hawatakusikia kwani wao siasa ni pesa nasio what they believe. Ni biashara, siasa kwao inakuja na deals, ni shamba la kuvuna, utajiri bila jasho. Lakini kwenye hii serikali ya tano, soko limekufa. Lowassa aende akawe mkulima na mfugaji kama alivyoahidi wakati wa campaign. Zitto atafute kazi 9 to 5 he is still young. Lakini siasa asahau, he can not be trusted. Watu hawana imani naye kabisa, hana ushawishi wowote. Mbowe sijui anatafanya kazi gani, kwenye siasa haaminiki haswa alipodeclare ya kuwa jengo la NHC ni lake na kumbe uwongo, na pia alipoonekana amelitumia jengo hilo kama lake binafsi, Mali ya Watanzania wote, wengine hawana uwezo hata wakununua maji safi ya kunywa, yeye amelalia kodi ya jengo hilo kwa mabilioni ambayo yangeweza kuchimba visima vya maji. Mbowe ni selfish, mpiga deal, hafai kabisa hata kuwa mpinzani, hana cha kupinga. In fact amewashushia heshima wapinzani kwa kuwa yeye ndiye mkubwa wao, na kwa kuwa anafutwa na polisi pengine ahepe awe mkimbizi, sio America, Trump watu kama yeye hawataki kabisa. Lambda nchi jirani Kenya, lakini huko kuna wajanja kumshinda yeye hatachukuwa round. Ajisalimishe tu Ainu mikono juu atubu mazambi yake.
 
Moja kati ya sifa kubwa ya Binadamu ambaye anastahili kuitwa clever, ni uwezo wa kujua ni wakati gani hasa unapaswa kuachia na kufanya mengine, Mlm.Nyerere ni mfano halisi alijua ni wkt gani muafaka wa yeye kuachia na kufanya mengine na alifanikiwa sana kwenye hili!

Sasa nawashauri sana watu kama Mbowe, Zito Kabwe na Lowasa hakuna wakati muafaka wa ninyi kuachana na Siasa kama sasa hivi, kwani mmefanya mengi kulingana na uwezo wenu na mmeshafikia peak ya uwezo wenu na hakuna kipya mtakachofanikiwa tena!

Mbowe una mchango wako mkubwa tu chadema na upinzani kwa ujumla atakayebisha hili ana matatizo lkn umefikia ukomo na hakuna jipya tena utakalolileta chadema zaidi ya kubomoa ona sasa unaambiwa unauza Madawa kulevya na hakuna anayekataa wala kukubali hilo kwa 100% hivyo unahisiwa, Zito Kabwe kulikuwa na wakati ulikuwa nyota hasa kwa vijana wkt upo chadema uling'ara una mchango mkubwa sana chadema na Upinzani kwa ujumla kuna vijana wengi walijiunga Upinzani kwa ajili yako lkn pia nasikitika kukwambia kwamba graph yako imeshafikia peak na sasa inashuka na hakuna kitu utafanya hivyo it's time to quit na fanya mengine hakuna miujiza asikudangane mtu huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma na kama ulikuwa unatafuta ushahidi wa hili ni Chama chako cha ACT kimeshindwa ku-take off na kina Mbunge mmoja tu, umeshindwa kushinda hata Kata moja kwenye uchaguzi ulioisha ingawaje ulifanya Kampeni ya kufa mtu hivyo hakuna kipya utafanya it's time to go man, Lowasa vivyo hivyo kubali yaishe, kama ulikuwa bado haujakubali mpaka sasa hivi hata baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa ...

Ukishakuwa chupi kazi yako ni kuvaliwa na kuvuliwa
 
Na wewe nakushauri uache umbea, tafuta kazi ufanye vinginevyo utaishia kuwa bwabwa.
 
Kwani shida yako ni nini lowasa mbowena zito wakifanya siasa we unaumia na nini
 
Mawazo ya hovyo hovyo. "It is over" maana yake nini? mkiitwa jina fulani, mnalalamika mnatukanwa, lakn wanaowaita wanafanya hivyo kwa sababu linakwenda sawa na matendo yenu. You behave like communist, we call you a communist..
 
Back
Top Bottom