Ukikubali kuoa mwanamke kwa ajili ya makalio kubali ndoa yako kutikisika kama yanavyotikisika makalio

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
KAMA NDEFU KUSOMA ACHA KAANGALIE SERIES ZA KIHINDI
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa pumzi na afya, Tuwaombee wagonjwa wote wapate uzima na walio tangulia mbele za Haki Mungu awarehemu,
Leo tutaongelea mahusiano sahihi kwa elimu ndogo sana,
mahusiano sahihi ni kitu kikubwa sana, mahusiano sahihi hujengwa na upendo wa dhati kutoka moyoni mwa wahusianao,

Pesa haijengi Upendo ila inaweza kujenga mahusiano lakini sio MAHUSIANO SAHIHI,
Mahusiano sahihi ni zaidi ya pesa na mali,
Ili mahusiano sahihi yawepo basi kunahitaji wote mpendane kutoka moyoni bila ya mavazi yenu(Sina maana mbaya) namaanisha umpende mwenza wako kama alivyo, kusiwe na sababu ama ya kimali au kimaumbile(six pack, makario) itakayokufanya umpende, na mkubali kutoka moyoni kuwa kila mmoja awe mwalimu kwa mwenzake,

Kuna wakati mahusiano sahihi uvunjika kutokana na mmoja wa wahusianao kuchoka kwasababu ya ahadi hewa ZILIZO NDANI YA UWEZO WA MWANAMME/MWANAMKE,

Utakuta upo kwenye mahusiano na bint wa watu kwa zaidi ya miaka minne, mnaitana majina ya matunda matamu mpaka Kisukari kinawanyemelea, wazazi wa bint wanasubili wee mpka nongwa, wanatamani kumwambia Bint yao kuwa Aaangalie umri haurudi nyuma pumzi ya Mungu hii, ila wanashindwa kwasababu wanajua bint yao aambiwi asikii kwako, inafika hatua mpaka wazazi wa Bint wanawatumia mashangazi na wajomba kumuuliza bint yao, maana wanaujua mcharuko wake, wakimuuliza tu balaa, bint anaulizwa lakini wewe ndio jibu lake, kinachomfanya binti apagawe kwako ni kwasababu ya wewe kumnunulia nguo speciall, peruvian Hair na makeup za kina Beyonce, lakini hata kumshauri mambo ya maendeleo ya baadae yake huwezi, na hicho ndicho kinachowaumiza wazazi wake, wanaumizwa kuona huwezi kumjenga bint yao aweze kuwa MWANAMKE baadae,

Marafiki zenu waliooana miaka mitatu iliyopita wanafuarahia mahusiano yao na washawekeza kwenye biashara na Viwanja huko morogoro, Kwakuwa nyie mmekulia MANZESE USWAHILIN kwa maskini wenzetu basi mnaamini biashara ni za WAARABU.WACHAGA.WAKINGA NA WABENA tu,

Unachoamini wewe ni kwamba wajibu wako ni kumfanya mchumba wako apendeze tu, inafika muda bint anaanza kujitambua, anaona kabisa umri unamtupa na miaka inakwenda hakuna anachofanya, Amechoka kuwa public toilet, Amechoka kurudi home na kukuta washapika chakula wanachopenda wazazi, anatamani siku moja awe kwake aamue apike nini na avae nini, amechoka kubadilisha mawigi wakati wenzake wanabadilisha mabati ya nyumba zao, Kabati lake limejaa nguo kibao ambazo thamani yake ni sawa na bodaboda 4 za Boxer BM 150, simu yake ni laki 4,
anahitaji awe na kwake ili ikifika asubuhi aamue watoto wake awapikie nini, Hata kama Wazazi wake ni matajiri bado anahitaji kuwekeza kwa ajiri ya vizazi vyake, Hakuna mali ya wajukuu kuna mali ya watoto,

Bint anaamua kukushauri na kukuomba ukajitambulishe kwao, kwakuwa unaamini anakupenda unapuuzia ushauri wake, unaamini yale mawigi na pesa za makeup zitamnyamazisha, Bint wa watu hachoki kukushauri na kukuomba tena na tena, Bado huonyeshi kujali ukisingizia maisha hayajakaa sawa, maisha hayajakaa sawa kwani kakwambia akija kwako atakula ugari kilo 10 kwa siku?
Unamwambia maisha hayajakaa sawa lakini kila wiki mnatoka out na mtoto wa watu, gharama za outing ni zaidi ya 90,000/= wakati barua ya posa ni tsg 30000 tu,

Inafika muda Bint anachoka, anatokea Jamaa aliekuwa anamsumbua miaka yote ila alimkataa kwa heshima na upendo wa dhati kwako,

Jamaa ana propose ndoa moja kwa moja, bint anakataa lakini mwisho anaamua kumruhusu jamaa kwa shingo upande, Jamaa hafanyi makosa anapeleka barua na mahari kabisa,
Siku bint anakuomba mzungumze private, mnazungumza na anakueleza kuwa miezi miwili ijayo anaolewa, unacheka kwa dharau ukiwa kama uamini, Moyo unakuenda mbio ubongo wako unawaza usaliti, unatoa mapovu "Haiwezekani mtu mkutane nae jana leo atangaze ndoa, nyie mnajuana", Bint ndio keshaamua tena "Its too late to catch a train", Mke wa maisha anatafutwa kwa udi na uvumba hachezewi, Mwishowe unajitundika Kwenye kamba na barua leefu..

Lakini pia kuna wasichana wengine bado wanafikili kuwa ndoa ni kama maonyesho yA SABASABA, wakiona Kijana ana sofa, Tv, gari, King'amuzi, kitanda, jinsi 15, raba 8 basi atajibebisha ili aolewe, Dada zangu nawaambia ndoa sio dela kwamba likiwa kubwa utapunguza, kuolewa na kuachika sio fasheni, ni kama mkosi kwako, chagua sehemu sahihi yenye utajiri wa upendo sio utajiri wa pesa, tafuta mtu mwenye brain vision na sio room television. msiseme sijawaambia, kikubwa tambueni HATA MAKUNGWI WANAACHIKA

Nasisi vijana tukishaamua kumchukua bint wa watu tutambue kuna kuumwa, Shida na raha, Vijana wengi tunafikili ndoa ni kupikiwa chakula, kufuliwa na kulala usiku, ndio maana ndoa zetu zinadumu miezi 6 tu, Mke akiumwa mwezi tu ushaanza kukerekwa, Tujipange na kuamua,

Kuna vijana wengine wanaamini ndani ya ndoa kuna mashindano ya urembo, Jamani ndoa si mashindano ya MISS Tz, Ndoa haina LUNDENGA kama jaji, Ni wewe na yeye mpaka milele,

Mtu akichagua YAI VIZA lake muache, yeye ndie ajuae kwanin lile yai viza linamfaa kuwa mke, Mke sio muonekano wa nje mke ni akili, Tabia na busara,
Makalio hayaendeshi ndoa, kama hujui ndio ujue,

UKIKUBALI KUOA MWANAMKE KWA AJILI YA MAKARIO BASI KUBALI NA NDOA YAKO KUTIKISIKA KAMA YANAVYOTIKISIKA MAKALIO,

Na nyie wanawake mnaposhangaa mwanamke mwenzenu kaolewa na mwanaume mwenye sura kama marahemu Remi Ongala na kuanza kumnanga "shoga nae ndio nini kuolewa na mwanaume mfupi kama Mchele kitumbo, Sura kama analamba ndimu" muacheni na mchele kitumbo wake yeye ndio anajua, huohuo mchele kitumbo atautengezea vitumbua vya mayai na ndoa itakuwa tamu balaa,

Wanawake wenye akili na intergrity huwa hawachugui mwanaume mwenye sixpacks, mwenye misuri wala sura nzuri, wanachagua mtu mwenye productive heart, mwenye maono, kujali na upendo wa dhati, tujifunze kwa Shigongo, Marehemu Filikunjimbe nk, anaweza kuwa maskini sasa lakini ndani yake kuna utajiri mkubwa ambao magubegube hawajauona, ila yeye ameuona na anauhakika atauvumbua siku moja,
wee endelea kuchagua kipenda roho na sura nzuri kama upo kwenye mashindano ya Mr handsome kama hautakuja kukutana na Ndondocha la kichina, nimemaliza..

sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
 
True.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.

What goes around always comes around
 
Aise.

Mhhh.

Aisee mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni makalio au mkia na mwwnaume mashine.

Flat screen labda itokee tu lakini nafsi yangu hasa inapenda mwanamke aliejazia jazia neema za allah mwanamke mwenye mkia, allahwakbaru, hatari sana shehe.
 
Hz hapa
55d8a2dc0eae2c0a0332f33788ec5d32.jpg
1a97935a3bc10edbeb715daea780b597.jpg
b1aa9675373614d79d39fc5ddd8cce53.jpg
2ccb378c7cdf0e7f85844fbed1490283.jpg
5ba5d6add7e4a98ca26aa7bb85347ef9.jpg

Sent from my Android phone
 
Back
Top Bottom