mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kwa mara ya kwanza niliposikia mkuu wa mkoa Mtwara anapendekeza waalimu wazembe wachukuliwe hatua niliona anakosea, Lakini nilipomsikiliza kipindi cha MAWAZO PEVU tv01 nikaona yule mama anauchungu sana na elimu ya mkoa wake. Pili anajua matatizo mengi na anapambana kusaidia Elimu hasa ya Sekondari mkoani kwawe ifanikiwe.
Mkuu wa mkoa DSM, Wakati tunatarajia neno lolote kuhusu matokeo mabaya ya elimu ya sekondari DSM na shule kadhaa kuingia kweye Kumi frongo uliibuka na issue tofauti kabisa ya madawa. Kazi zuri japo pia ulikuwa na changamoto zako. Lakini cha kushangaza tangu Siaga mwenyewe amechukua Jukumu hilo na wahusika wengine naona kama umekuwa kimya ghafla.
Nadhani sasa ni wakati sahihi wa kuchukua hatua ikiwezekana Shule ya kata moja DSM iingie top ten au mwanafunzi mmoja bora atoke shule ya kata DSM.