Hiyo habahatishi, ni kweli alikwenda front. Mimi nilikuwa 10 majeshi toka Shy, sasa kuna WO 2 anaitwa Sancho alikuwa anachekesha sana, alikuwa mkurya halafu kiswahili kwake shida, hajasoma lakini alikuwa NATO kinoma. Akivaa Canadian combat na vimbwanga Vingi, SMG, pistol, hand grenade, panga...