TRA ifute usajili magari yasiyolipa mfulilizo Road Licence miaka 3

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Ili kusaidia TRA kukusanya mapato na malimbikizo yake kwa wepesi,nashauri hilo lifanyike. Hii itafanya wasiolipa kujitokeza kama wapo. Pia itapunguza malalamiko kwa waliotelekeza magari miaka mingi na kumbe hawayahitaji tena na hawakujua kuna sheria ya kuripoti na kuyafuta. Pia ni rahisi wezi wa magari kugundulika!kwani kwa kufutiwa usajili, magari yaliyofichwa yatapatikana wakati wa kurenew usajili. Naamini kwa utaratibu huu TRA watapata takwimu halisi ya idadi halisi ya magari yaliyopo,na makisio ya mapato kamili.
 
Sio hilo tu. Pia irudishwe kodi ya kichwa itasaidia sana mapato na kuwajua watu. Walipe na watembee na risiti. Big up wazo zuri.
 
Nakuunga mkono na miguu. Katika watz mil 45 wewe una busara sana. Hilo litekelezwe Mara moja
 
Kuna mtu ameuza gari kama scraper miaka 10 imepita,leo anadaiwa. Pia kuna waliouziana magari kihalali,mnunuzi ameshafariki miaka mingi kama 7 na hakubadili jina na gari nayo ilishakufa (scraper). TRA wamekaa kimya miaka yote bila kumpa notisi aliyeuza kuwa anadaiwa! Mambo kama haya ni rahisi tu,cheki record ya gari,futa usajili kuondoa usumbufu usio wa lazima
 
Ili kusaidia TRA kukusanya mapato na malimbikizo yake kwa wepesi,nashauri hilo lifanyike. Hii itafanya wasiolipa kujitokeza kama wapo. Pia itapunguza malalamiko kwa waliotelekeza magari miaka mingi na kumbe hawayahitaji tena na hawakujua kuna sheria ya kuripoti na kuyafuta. Pia ni rahisi wezi wa magari kugundulika!kwani kwa kufutiwa usajili, magari yaliyofichwa yatapatikana wakati wa kurenew usajili. Naamini kwa utaratibu huu TRA watapata takwimu halisi ya idadi halisi ya magari yaliyopo,na makisio ya mapato kamili.
TRA igeni Jeshi la Polisi, kufuta usajili wa silaha ambazo hazijahakikiwa .Hawana konakona, 20:00Hrs ITV news 18.11.2016
 
Kuna mtu ameuza gari kama scraper miaka 10 imepita,leo anadaiwa. Pia kuna waliouziana magari kihalali,mnunuzi ameshafariki miaka mingi kama 7 na hakubadili jina na gari nayo ilishakufa (scraper). TRA wamekaa kimya miaka yote bila kumpa notisi aliyeuza kuwa anadaiwa! Mambo kama haya ni rahisi tu,cheki record ya gari,futa usajili kuondoa usumbufu usio wa lazima

Ni nini maana ya scraper?
 
Tuige - nayo magari ni hatarishi. Hatari sana.
Sio hatarishi,ila kama mmiliki hayupo au haonekani kurenew RL miaka 3,na wewe huna mechanism ya kutrace iliko gari,futa usajili! Why bother with mass? TRA hawajawahi kuwa serious kucrosscheck umiliki wa magari kama polisi walivyofanya! Big up Tz police. Tra Ni blaabla na tai kwa sana.
 
Back
Top Bottom