Hivi decoder ya continental kwa sasa ina ubora?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Naulizia continental
Hivi kwa sasa wana ubora?
Kuscratch jee?
channel zinapotea tena?
 
ndugu kwa sasa tushasaau iyo continental mambo yote azam tv.mi ni fundi nyumba nying naitwa kufunga azam,star times nna zuku
 
Ukinunua continental dekoda umejiloga mwenyewe. Nilinunuaga sasa hivi natumia tu kama deki kuplay kwa USB. Wapo ovyo kabisa. Channel karibu zote ni zao wenyewe hakuna jipya watangazaji wale wale chanel karibu zote ujinga mtupu
 
Naulizia continental
Hivi kwa sasa wana ubora?
Kuscratch jee?
channel zinapotea tena?
...
Continental hata sijui nini kisa cha kujiondoa kwenye ule muungano wao wa kikaburu .. walipewa frequency mbili za digital kwa surface ... sasa zinatotal to four na zote haziko fully utillized ... mwenza wake anahubiri eti bure kabisa reception za transmission zake kwa simu ... internet bundle na battery biashara ya nani?

Natumia kisimbisi cha yd demo combo cha offer so far so good ni kizuri FTA. Channel za T ni za mbia wake ... yeye mmh ... na za S, quality ni SD.

..wasalaam...
 
Naulizia continental
Hivi kwa sasa wana ubora?
Kuscratch jee?
channel zinapotea tena?
Mizinguo tupu me nimepak hawa jamaa wahuni king'amuzi gan hakina updates za channel full janjajanja tu we chukua azam tu ndo uhakika au DSTv hukokwingne hovyo
 
Mizinguo tupu me nimepak hawa jamaa wahuni king'amuzi gan hakina updates za channel full janjajanja tu we chukua azam tu ndo uhakika au DSTv hukokwingne hovyo
mkuu nipe siri ya huko
 
...
Continental hata sijui nini kisa cha kujiondoa kwenye ule muungano wao wa kikaburu .. walipewa frequency mbili za digital kwa surface ... sasa zinatotal to four na zote haziko fully utillized ... mwenza wake anahubiri eti bure kabisa reception za transmission zake kwa simu ... internet bundle na battery biashara ya nani?

Natumia kisimbisi cha yd demo combo cha offer so far so good ni kizuri FTA. Channel za T ni za mbia wake ... yeye mmh ... na za S, quality ni SD.

..wasalaam...
mkuu hicho chapatkana wapi?
 
Nimeachana nao juzi juzi tu, siwataki kabisa. Kimbilia Azam au Dstv Ndugu. Continental wa jitahidi warudishe ZBC na ZBC 2. Pia wawaombe radhi wateja wao kwa kutangaza kuonyesha AFCON halafu wakaingia mitini bila taarifa.
 
Mi nilikuwa na cha antena, kikawa kinazingua kila siku, nikaenda ofisini kwao wakanishauri ninunue cha dish, nacho ni mzinguo full time, sasa Niko na Azam, ni poa sana. Hivi vya continental nataka gawa bure kwa atakaeniomba mwanzo.
 
Azam iko poa picture quality safi sema tatizo lake kubwa zikiwepo dalili za mvua kidogo inaanza zingua.
Na piaana channel kibao za kijinga zisizo na maana.
Mimi siyo mpenzi wa mpira na niko azam coz ya channel moja tu ya IDx otherwise ningekuwa startimes.
DSTV ndo bomba channel za maana nyingi sema package zao sasa bei.
 
Naulizia continental
Hivi kwa sasa wana ubora?
Kuscratch jee?
channel zinapotea tena?
Usijaribu nina wiki sasa toka niweke hela kwenye kingamuzi na kila nikiangalia chanel. Hawajanifungulia costomer care ukipiga yn hat hawajielewi sijui anawatoaga wapi hawajui kuhudumia hat kukuelewesha hawajui wamasai kila ck eti system yao iko chini
 
Back
Top Bottom