Recent content by kiraremapojoni

  1. kiraremapojoni

    Mfanyakazi mwenye tuhuma anaweza kufukuzwa kabla ya tuhuma kuthibitishwa?

    Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi. Cha kushangaza...
  2. kiraremapojoni

    Vyuo 10 bora kwa mwaka 2019 hapa Tanzania

    Si haba chama langu MZUMBE lipo
  3. kiraremapojoni

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    ni kweli kama huru ilikuwa zanzibar ndo iliyoungana na chama cha wananchi ikazaliwa CUF
  4. kiraremapojoni

    Mfahamu T.O wa kike aliyeahidi kuolewa bila mahari ikitokea Mwanaume yeyote atampita

    nimecheka kama mazuri kaka kumbe T.O ina maana nyingi sio Tanzania one tu hata Transport officer pia ni kirefu chake, wabongo noma , weka picha tu caption wataweka wenyewe
  5. kiraremapojoni

    Uteuzi: Rais Magufuli amteua Mzee Cleopa David Msuya kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

    CCM ni ile ile viongozi ni wale wale, wapinzani wanasemaje ............................................ (malizia mwenyewe) RIP JOHN KOMBA
  6. kiraremapojoni

    Hivi wakina Joyce mna matatizo gani?

    upepo wa kisulisuli umekukumba kwa kija Joyce usikatae baraka hizo huwezi kula kama hujaliwa, unataka kula papuchi wakati hutaki kutoa pesa ya kusukia nywele
  7. kiraremapojoni

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    kwa Bwana kila goti litapigwa. Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Mwanga wa milele umuangazie mzee wetu na Mwanamageuzi halisi aliyeasisi chama cha Kamahuru kilichounganishwa kikawa CUF
  8. kiraremapojoni

    Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

    usicheze na hizo namba kwenye miaka yetu ya 90 ilikuwa hatari ndani ya langata na Mbowe club kama uliwahi kuja mzizima mapema
  9. kiraremapojoni

    Mwenye degree anaweza kutumia cheti cha form 4/6 kusoma diploma ya uhasibu

    certified Public Accountant ni elimu ya juu kwa muhasibu na inamtambulisha muhasibu katika ulimwengu wa wahasibu mara baada ya kumaliza degree na/ au MAsters au PostGraduate. Ukiwa na hiki cheti kwa upande wa muhasibu na ukipata kzi katika taasisi ambayo inathamini elimu na mfanyakazi basi jua...
  10. kiraremapojoni

    Mwenye degree anaweza kutumia cheti cha form 4/6 kusoma diploma ya uhasibu

    Ukiwa na degree unaweza kutumia cheti chako cha degree kusomea uhasibu ila kwa vile ni semi accounting degree utaanzia diploma sawa na mwanafunzi wa form six ambaye hakufaulu vizuri ila unaweza kabisa na kama ndio ndoto yako wala usiwaze anza mchakat mapema ingawa na kozi yenyewe ya uhasibu kwa...
  11. kiraremapojoni

    Vituko vya awamu ya 5: Afande Sele amvaa Mzee Kikwete kuhusu ‘Kujimwambafy’

    chelewa kufa ukumbane na maajabu ya tisa ya dunia yanayotokea Tanzania
  12. kiraremapojoni

    Maziwa yanayofaa kwa mtoto mwenye umri wa siku 84

    inawezekana mama akishamaliza kumnyonyesha asubuhi anakamua maziwa yake na kuyaweka kwenye friji kisha anapewa mtoto baadaye na isitoshe kwa mama mwenye mtoto huwa anafanya kazi nusu siku kwa hiyo atawahi kumnyonyesha mtoto. Niliwahi kusikia uji mwepesi wa unga wa muhigo ni mzuri sana kwamtoto...
  13. kiraremapojoni

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chilamila, awatandika bakora Wanafunzi

    Maswali yako yote hayana majibu kwa mtu ambaye ni muelewa na sababu za kukosa majibu ni kama ifuatavyo 1: Mwanafunzi anapojiunga na shule lazima apewe joining instruction ambayo itaeleza taratibu zote za shule na lazima isainiwe na mwanafunzi pamoja na mzazi , sasa inakuwaje mzazi anampa...
  14. kiraremapojoni

    PM Majaliwa: Ruksa wafanyakazi kula bata nje ya nchi

    nilisoma kwenye vyombo vya habari taarifa zao
  15. kiraremapojoni

    PM Majaliwa: Ruksa wafanyakazi kula bata nje ya nchi

    Likizo ilikuwa inatoka ila ukitaka kwenda likizo nje ya nchi lazima upate kibali toka serikalini cha kusafiri vinginevyo unarudishwa airport kama wale wakurugenzi wa PCCB na mashtaka juu wakafunguliwa na ndani wakakaa. Nadhani kuna walichojifunza juu ya hili katazo lao ila kubwa kuomba Mungu...
Back
Top Bottom