Hivi wakina Joyce mna matatizo gani?

Hivi wakina Joyce mna matatizo gani?

Habari za saa hizi wakuu.
Hivi hawa wenye wadada wakuitwa Joyce wana matatizo gani🙇?

Nilikua na demu anaitwa Joyce alikua ana maringo sana halafu anapenda sana maisha ya juu na pesa sana.

Na nilimpotezea baada ya kuja ghetto na kuninyima papuchi yaani ananipa masharti mengi eti nikimuoa lazima tufunge harusi na vingine vingi na alikua anapenda pesa sana kila kitu mimi.

Mara ya mwisho kumtumia sms ilikua mwaka huu mwezi wa sita nilimtumia sms kabla hata hajajibu akaniomba hela ya kusukia nywele hapo ndio nikaacha kumtumia sms.

Imepita miezi 4 sijawahi mtumia sms wala kumjibu sms zake.Leo nimejiroga kumtumia sms kabla hata hatujasalimiana vizuri ananiambia😟 ndio anarudi chuo kwa hiyo nimtumie 30000 ya kula njiani na daladala akifika. Hapa nimemuweka blacklist.

Mwngine Joyce nimemtongoza juma tatu na kukubali siku hiyo hiyo na Jana jumanne kaanza kuniomba hela kama mimi baba yake.

Eti kuna gauni analipenda anataka nikamnunulie😁😁😁😁.
Nashindwa kuwaelewa hawa wakina Joyce wengi wapo hivyo wanapenda maisha mazurii na kujisikia sana.
Huyo joyce wako wa chuo anasoma chuo gani? Level gani?
 
Duh umenikumbusha kuna demu mmoja wakuitwa hilo Jina Joyce alikuwa anasoma chuo katokea huko singida. Nilimtongoza ila uchi akawa ataki kunipa hata geto alikataa Kuja kwakuhofia nitamla.

Ikatokea Fiesta mida yasaa5 usiku akanipigia simu akaniuliza nipo wapi? Nikamjibu nipo kwenye show ya Fiesta, yaani kusikia hilo neno Fiesta Joyce kama vile alichanganyikia. Akanibembeleza aje nimlipie kiingilio namimi bila ajizi nikamwambia panda bodaboda nitakuja kulipia huku. Nusu saa jingi mtoto kishafika nikatoka nikalipia. Duh aiseee alienjoy sana ile show. Mida yasaa9 nikajibebea mzigo nikaenda kuukamua kiroho Safi nandio ukawa mwanzo wetu wakulana namtoto Joyce ila alikuwa natumizinga tudogotudogo ila namimi nilikuwaga sina maana nilikuwa ndio nimemaliza shule nafanya biashara yahome.

Popote ulipo Joyce I miss you maana ulikuwa unajua kuililia kinoma ila ulichokuwaga unanikera nikumtaja bwana wako hamisi wakati washow ikikorea.
Hahahaha amekusikia Mkuu nafkiri atajirekebisha. Ila nimecheka sana
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂wanapenda starehe saana
 
Ha ha ha ha

upepo wa kisulisuli umekukumba kwa kija Joyce usikatae baraka hizo huwezi kula kama hujaliwa, unataka kula papuchi wakati hutaki kutoa pesa ya kusukia nywele
 
😂😂so nywele tu mkuu mambo meengi yaani anaweza kuomba ya nywele saizi na zinapita dakika kumi anaomba chengine
 
Angekua nazo asingemblock mtu kisa elfu 30
😀Mkuu pesa ipo kimtindo na bado sijaipata kiuhakika na naiheshimu saaana ko hata kumpa mtu ambaye yeye hataki kutoa ni mtihani kwangu.
 
Duh umenikumbusha kuna demu mmoja wakuitwa hilo Jina Joyce alikuwa anasoma chuo katokea huko singida. Nilimtongoza ila uchi akawa ataki kunipa hata geto alikataa Kuja kwakuhofia nitamla.

Ikatokea Fiesta mida yasaa5 usiku akanipigia simu akaniuliza nipo wapi? Nikamjibu nipo kwenye show ya Fiesta, yaani kusikia hilo neno Fiesta Joyce kama vile alichanganyikia. Akanibembeleza aje nimlipie kiingilio namimi bila ajizi nikamwambia panda bodaboda nitakuja kulipia huku. Nusu saa jingi mtoto kishafika nikatoka nikalipia. Duh aiseee alienjoy sana ile show. Mida yasaa9 nikajibebea mzigo nikaenda kuukamua kiroho Safi nandio ukawa mwanzo wetu wakulana namtoto Joyce ila alikuwa natumizinga tudogotudogo ila namimi nilikuwaga sina maana nilikuwa ndio nimemaliza shule nafanya biashara yahome.

Popote ulipo Joyce I miss you maana ulikuwa unajua kuililia kinoma ila ulichokuwaga unanikera nikumtaja bwana wako hamisi wakati washow ikikorea.
Mkuu unawarusha roho akina Hamis wenye demu anaeitwa Joyce
 
Back
Top Bottom