greatbrain
Member
- Apr 15, 2019
- 56
- 60
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa mdau mwenye degree ya ualimu ( science) anaweza kutumia cheti cha fomu four au six kusoma diploma ya uhasibu?
Mpe jibu wewe unaeelewamkuu swali gani hili unauliza? ina maana huelewi kabisa au ulitaka wajue una degree?
siwezi kumpa jibu maana sidhani kama yuko sawasawa kama kweli hafahamu anachoulizaMpe jibu wewe unaeelewa
hapana mkuu napingana na weweMtu kusoma degree afu anaenda soma diploma anaonesha hajaelimika
Ushauri mzuri sana,UKIWA NA DEGREE UNAWEZA KUTUMIA CHETI CHAKO CHA DEGREE KUSOMEA UHASIBU ILA KWA VILE NI SEMI ACCOUNTING DEGREE UTAANZIA DIPLOMA SAWA NA MWANAFUNZI WA FORM SIX AMBAYE HAKUFAULU VIZURI ILA UNAWEZA KABISA NA KAMA NDIO NDOTO YAKO WALA USIWAZE ANZA MCHAKAT MAPEMA INGAWA NA KOZI YENYEWE YA UHASIBU KWA SASA IMESHAKUWA NA CHANGAMOTO KWANI WAHASIBU WAMEKUWA WENGI SANA KWENYE MZUNGUKO NA SOKO NALO LIMESHUKA SANA KAMAHALIJAISHA KABISA INGAWA UNAWEZA KUJIONGEZA NA KUFANYA CPA KABISA ILI UJITOFAUTISHE NA WENYE DEGREE WENGINE.
Endelea kupinga ila kama ya kwanza haikukusaidia hiyo miaka ya kusoma Diploma bora ufanye kitu cha maanahapana mkuu napingana na wewe
mkuu fikiria upya, hauko sahihiEndelea kupinga ila kama ya kwanza haikukusaidia hiyo miaka ya kusoma Diploma bora ufanye kitu cha maana
IZO CPA ZAMAN ZILIKUA CHACHE SIKUIZI KILA MKOA KUNA VITUO VYA KUFANYIA MTHIANI HUO PIA ZIPO NYINGI.UKIWA NA DEGREE UNAWEZA KUTUMIA CHETI CHAKO CHA DEGREE KUSOMEA UHASIBU ILA KWA VILE NI SEMI ACCOUNTING DEGREE UTAANZIA DIPLOMA SAWA NA MWANAFUNZI WA FORM SIX AMBAYE HAKUFAULU VIZURI ILA UNAWEZA KABISA NA KAMA NDIO NDOTO YAKO WALA USIWAZE ANZA MCHAKAT MAPEMA INGAWA NA KOZI YENYEWE YA UHASIBU KWA SASA IMESHAKUWA NA CHANGAMOTO KWANI WAHASIBU WAMEKUWA WENGI SANA KWENYE MZUNGUKO NA SOKO NALO LIMESHUKA SANA KAMAHALIJAISHA KABISA INGAWA UNAWEZA KUJIONGEZA NA KUFANYA CPA KABISA ILI UJITOFAUTISHE NA WENYE DEGREE WENGINE.
Mkuu, naomba kufahamu kuhusu CPA..UKIWA NA DEGREE UNAWEZA KUTUMIA CHETI CHAKO CHA DEGREE KUSOMEA UHASIBU ILA KWA VILE NI SEMI ACCOUNTING DEGREE UTAANZIA DIPLOMA SAWA NA MWANAFUNZI WA FORM SIX AMBAYE HAKUFAULU VIZURI ILA UNAWEZA KABISA NA KAMA NDIO NDOTO YAKO WALA USIWAZE ANZA MCHAKAT MAPEMA INGAWA NA KOZI YENYEWE YA UHASIBU KWA SASA IMESHAKUWA NA CHANGAMOTO KWANI WAHASIBU WAMEKUWA WENGI SANA KWENYE MZUNGUKO NA SOKO NALO LIMESHUKA SANA KAMAHALIJAISHA KABISA INGAWA UNAWEZA KUJIONGEZA NA KUFANYA CPA KABISA ILI UJITOFAUTISHE NA WENYE DEGREE WENGINE.
certified Public Accountant ni elimu ya juu kwa muhasibu na inamtambulisha muhasibu katika ulimwengu wa wahasibu mara baada ya kumaliza degree na/ au MAsters au PostGraduate. Ukiwa na hiki cheti kwa upande wa muhasibu na ukipata kzi katika taasisi ambayo inathamini elimu na mfanyakazi basi jua ushaukata kimaisha na hasa upate katika Mashirika ya KigeniMkuu, naomba kufahamu kuhusu CPA..
Unapozungumza CPA unamaanisha mini..?
certified Public Accountant ni elimu ya juu kwa muhasibu na inamtambulisha muhasibu katika ulimwengu wa wahasibu mara baada ya kumaliza degree na/ au MAsters au PostGraduate. Ukiwa na hiki cheti kwa upande wa muhasibu na ukipata kzi katika taasisi ambayo inathamini elimu na mfanyakazi basi jua ushaukata kimaisha na hasa upate katika Mashirika ya Kigeni
Mkuu usikatishwe tamaa na comments za wanaJF, majority wanajifanya wajuaji.
Mimi nina Bachelor ya Pharmacy ila napenda sana nipate angalau diploma ya sheria. Hili liko kwenye marengo yangu.
Kumbuka, elewa ndoto zako kwanza, halafu fanya maamuzi ili kutimiza ndoto zako.