Celine Dion, Mariah Carey, Whitney Houston, Toni Braxton, Brandy na Jennifer Lopez

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,868
3,624
Hawa watu walitingisha sana enzi zao.
Kati ya hawa mastar waliochuana sana enzi zao, wewe unamkubali nani zaidi weka vigezo

1. Number of awards Won, eg Oscra, BET, Grammy Etc
2. Ngoma zilizoshika namba 1 Billboard
3. Mauzo ya Albamu
4. Number ya Viewers ya nyimbo zake on Youtube
5, Na vigezo vingine ila achana na utajiri wake

Taja ngoma au album unayoikubali na utoe vigezo vya kuichangua hiyo ngoma au album. Nimetaja hawa wakongwe kwa sababu enzI zao hatukuwa na wakina Destiny's Child and the like. Walikuwepo kama wakina Gloria Estafany, Sade, Lauryn Hill na wengine wengi ila twende na hawa kwanza.

Wale wahenga karibu, nyie vizazi vya 97+ tupisheni kidogo.
 
Aisee wote hawa walikuwa moto sana enzi zile
Brandy na JLo ungewatoa kwenye hiyo list, aina ya muziki wao ni tofauti kidogo na hao wakongwe hapo juu japo Brandy kidogo anaweza kufukuzana nao.
 
Wengi uliowataja walikuwa ni octave vocalist , ndo maana walitikisa na nyimbo zao zilibamba sana, si tu miaka hiyo bali hadi sasa

Octave vocalist ni mwanamziki mwenye uwezo wa kuimba sauti zote nne ,( sauti ya kwanza hadi ya nne ), ndiyo taste nzuri ya muziki unayoipata Toni braxton ,mariah Carey, akiimba! Kuna mwingine hujamtaja! vesta williams , naye alikuwa hot enzi za uhai wake .
 
Hawa watu walitingisha sana enzi zao.
Kati ya hawa mastar waliochuana sana enzi zao, wewe unamkubali nani zaidi weka vigezo

1. Number of awards Won, eg Oscra, BET, Grammy Etc
2. Ngoma zilizoshika namba 1 Billboard
3. Mauzo ya Albamu
4. Number ya Viewers ya nyimbo zake on Youtube
5, Na vigezo vingine ila achana na utajiri wake

Taja ngoma au album unayoikubali na utoe vigezo vya kuichangua hiyo ngoma au album. Nimetaja hawa wakongwe kwa sababu enzI zao hatukuwa na wakina Destiny's Child and the like. Walikuwepo kama wakina Gloria Estafany, Sade, Lauryn Hill na wengine wengi ila twende na hawa kwanza.

Wale wahenga karibu, nyie vizazi vya 90 tupisheni kidogo.

Dhahabu tupu hapo
 
Wengi uliowataja walikuwa ni octave vocalist , ndo maana walitikisa na nyimbo zao zilibamba sana, si tu miaka hiyo bali hadi sasa

Octave vocalist ni mwanamziki mwenye uwezo wa kuimba sauti zote nne ,( sauti ya kwanza hadi ya nne ), ndiyo taste nzuri ya muziki unayoipata Toni braxton ,mariah Carey, akiimba! Kuna mwingine hujamtaja! vesta williams , naye alikuwa hot enzi za uhai wake .
hawa wanawake waliiendesha sana dunia ya Mziki, Mariah Carey alikuwa na Whistle sound,,, aaaaaaaaaaaaaahhh napenda sana ile sauti aisee
 
Celine Dion habari nyingine, geto nilikuwa na bonge LA radio na CD zangu za ngoma kalikali demi akija kukutembelea unamuwekea hizo ngoma anasikiliza mpk analegea hutumi nguvu kushawishi.. Hiyo ulikuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
Back
Top Bottom