Recent content by kipumi

  1. kipumi

    Hii ni anti virus nzuri kwa simu

    Nyoote sarut hakika kwa kiac chenu mlivyojibizana muwataalam wa IT. Hongereni kazaneni tupate kufungua nac MicroTZ yetu!!
  2. kipumi

    Ushoga: Wamiliki wa Facebook na Instagram waifungia Uganda!

    Wawaaaa Yoweri kwahilo Mwenyezi mungu atakulipa na uchaguzi ujao wa Nchi yenu utashinda ili uzidi kukandamiza hilo asije rais mwingine akabadili mswada huo. Duuu tooba Mola atunusuru kwa hili mana likikubalika Uganda sawa na sebureni mwa TZ x utackia liko chumbani TZ. Toooba Mola yarabi kizazi...
  3. kipumi

    Nafasi ya kazi Dubai na nchi nyingine za falme za Kiarabu

    Asante kutangaza ajira ila tatizo la hao ndugu zetu wa falme za kiarabu hawathamini watu weusi kuna baadhi washaenda huko kwa kutangaziwa kazi mbalimbali lakini walipofika waliishia kupewa kazi ambazo sizo waliambiwa na wengine waligeuzwa wake zao wengine kufanyiwa unyama wa kijinsia n.k...
  4. kipumi

    Airtel mmeamua kutusaliti?

    Njoo kwetu pazuriii!
  5. kipumi

    Serekali kuhakiki vyeti vya wafanyakazi

    Zoezi hilo kabla halijapigiwa filimbi kwanza mpiga filimbi ajitazame isije ikawa kama yule wa Amerini panya wote walimfata yeye, Nchi yetu zoezi hilo likianzishwa haswa Serikalini bac watabaki 10 tu believe me! Yani Mr Kihiyo aliacha wenziwe kibao tena washapewa na uwaziri. Je huyo mpiga filimbi...
  6. kipumi

    Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Hakika nakupongeza sana kwa moyo wako wa kutaka kumsaidia huyu ndugu aliyeomba ushauri wa maisha japo kuna wengine humu mataahira wanaleta majibu ya kipuuzi wkt wengine wanashida za ukweli. Watu kama ww wakipatikana 10 tu eneo unaloishi naimani hakutakuwa na omba omba! Mwenyezi mungu akubaliki...
  7. kipumi

    Mwenye CV ya Mbwiga

    Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, wewe Kama unaona anachemsha tafuta station nyingine ckiliza tuachie na burudani wetu same time wengine tunaamka na mawazo kibao lakini ukifungua clouds ukamsikia duuu burudaaani mawazo yote tupa kule!
  8. kipumi

    Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Nadhan tunasahau usemi usemao "Tabia haina Dawa" mtu mwenye asili ya wizi toka kuzaliwa kamwe hawezi kuacha hata km atafikia ngazi gani ya kimaisha ataiba tu! Sasa kuwa Ikulu hakumfanyi mwenye asili ya wizi akaacha jua akipata upenyo tu kachezesha! Hivyo msiumishe vichwa nani na nani! Ni mwenye...
  9. kipumi

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Ndugu inaonyesha ni jinsi gani umekua kipumbavu bila ya maadili ndio mana hata mama yako unamvunjia heshima je wana JF ndio utawaheshim? Kwani huwezi kujibu kistaarabu mpk uitaje iliyokuleta duniani? Humu c mwako Wana JF wako kwa kueleweshana kistaarabu watu wenye lugha za jaziba km zako...
  10. kipumi

    Samaki aingia mwilini mwa mtoto wa kike kupitia sehemu ya siri

    Mmmmh kweli mazingaombwe! Msichana km bado Ana bikra yk ya ukweli hata kidole cha mwisho hakipiti iweje samaki wa urefu huo upana hapo hatujaambiwa, kweli apite K.....? Au kadagaa? Kisha alikuwa pekee yeye ndio kajua kimo cha samaki huyo au kuna aliyemuona na hakumsaidia? Jaman jaman cku za...
  11. kipumi

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Haya Ndg yetu Mahakama ishagonga nyundo yake jamaa Mwepec kisha shika mpini sasa tumwagie hizo text za vithibitisho au zilikuwa mbwembwe za jamvini tu??
  12. kipumi

    Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Duuuu mpaka Leo tarehe 7/1/2014 hajavuliwa 2 huo uanachama? Hatma ya Mahakama imeshamvua Leo au? Mana me nilikuwa sokoni!
  13. kipumi

    Mashabiki wa MAN U MNAHAMIA WAPI JAMAN

    Ni kweli wakuhama walikuwa wa Arsenal cye tuhame kwa msimu 1???
  14. kipumi

    Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

    Ckia we sungura cmanishi nikitaja kuingia Bank bac ni mjengo wa bank kwani unapopita mitaa ukaingia ATM ni ATM za Bar au.....?? Au hata hiyo cm yako ufunguapo huduma ya kutoa au kuweka pesa ni ya kibox chako au ni huduma za kibenk? Soma ujumbe wa mtu vyema co kukurupuka man!!
  15. kipumi

    Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

    Tupishe huko na Ndg nyumba kubwa! Mtu akisema kalipwa trh 24, 27, 30.... C kwamba ndio mishahara ilitolewa hivyo hizo tarehe ni kila mtu anaingia bank kwa wkt wake kisha anakutana na bingo yake. Sasa we usiojua Malipo ya kupitia Bank yakoje unadhani bado dirishani km Enzi za Mwalim Pooooole!!
Back
Top Bottom