december mwaka jana brightest flashlight app inayotumia flash ya simu iligundulika ni spyware baada ya kuwa inatrack watu. hii ilikua ni baada ya kudownloadiwa zaidi ya mara milioni 100. imagine malware anagundulika baada ya kudownloadiwa mara milioni 100 tena sio na google na watu wengine tu.
sasa hivi kuna malware anauzwa kwenye blackmarket nyingi kwa dola 300 anaitwa DENDROID RAT take your time mgoogle. malware huyu anapita security zote anaingia hadi playstore na ukimueka kwenye simu yako anafanya haya.
-ana access ya camera anaweza piga picha na kuchukua video bila kujijua
-ana access ya microphone anarekodi simu zako.
-ana daka sms zote iwe ni whatsap au sms za kawaida
-anasoma saved login (password)
-browser history (vitu ulivyobrowse)
-na kudownload vitu vyako vya gallery
hebu imagine malware kama huyu aingizwe kwenye kampuni yenu na kampuni jirani si mnafilisika mara moja?
hii ndio playstore kaka.
pia unaweza kusoma research ya NC State
University associate Computer Science professor
Xuxian Jiang yeye alitest jumla ya apps zenye malware 1290 kutoka familia 49 za malware na kati ya hizo ni asilimia 15 tu ndio walidakwa na asilimia 85 wakapita free hao malware.