GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,017
- 126,429
HATARI PALEEEE MBiga wa mbwiguke ..wemberu wemberu sako la nyani ngedere hawakosi ,eee ndio mbwiga umeona wapi sanamu likaamkiwa...? BIG UP MBWIGA WANAO KUDIS WANAKUBALI KAZI YAKO...ET CV ..wewe cv ndio inatangaza ? hata kauweledi kakuzaliwa kanatosha VYETI vyenyewe mnafoji ...UKIONA TANGAZO LIMECHANWA UJUE LISHASOMWA...mbona kuna host kibao wafanya pumba kwenye tv/radio staions ,ACHEN HIZO BANDUGU KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE ....Wenye vimastars baadhi tunasota na wenye std 7mjiin na wengine std7 wametusua kuliko..... KUMDISCUSS MTU AMBAYE ANAREKEBISHA NJIA YA CHOONI ISIOTE NYASI NI UMBURURA NA SIO BURE UTAKUWA UMEVURUGWA .....MBWIGA UPO JUU ....
,
Sikufahamu tu Ndugu ila Umenifurahisha na Umenikuna Sana na Umemaliza Kila Kitu. Kama Hutojali Nitumie Namba Yako Ya Tigo au M Pesa Japo Nikurushie hata Tsh 5,000/= tu Ya Kunywa Maji na Nipo Serious.