Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

coward...., be you, be genuine. acha kutafuta kupendwa na wanachadema. Anza na Mungu basi...faggot

1. Hujajibu swali.
2. Mtu anayetafuta kupendwa hawezi kamwe kuchukua positions zilizo unpopular kwa wengi kama mimi.
3.Mtu anayetafutwa kupendwa na wanachadema hawezi kuwa anawachana viongozi wa pande zote wa CHADEMA kama mimi, kuanzia Zitto, Slaa, Mbowe mpaka vifaranga vyao..
4. "Faggot" is so random, ad-hominem, so made up, so weak, so pointless, that I can't even begin to dignify it with a response.
 
kama anayotuhumiwa kuyatenda yanaushahidi aadhabiwe kwamujibu wa katiba na kanuni za chama kwani chama ni cha watanzania na si mali yake.
 
Mme wangu alinambia kwao ni raha kumfukuza Mansoor CCM, lakini dhambi kumfukuza shujaa Zitto NCCR. Mpaka leo hataki kunambia kwanini anataka ZZK abaki CDM wakati wao walifukuza alietoa mawazo yake.
Sasa binti hebu twende taratibu, kwa hiyo mume wako ni Ccm ww sio Ccm siyo? Kwa hiyo ww unaweza kutusaidia kuupata ukweli juu ya haka kadubwasha siyo?( Ni PM) FANYA HIYO KAZI BINTI ILI TUISAIDIE JAMII
 
Wasimfukuze, bali suala lake waendelee kuliweka kapuni.
Wajikite zaidi kwenye rasimu ya pili ya katiba mpya.
 
jamaa ni msaliti wa kutupwa nina call records zake pia text zake kibao nikiwa IT voda na tigo,nikipata kazi Bima naziachia jamaa ni nyoka apigwe chini mimi muha mwenzie ila jamaa sio,mapema ijumaa saa nne asubuhi apigwe chini,chadema cc wakishindwa end of this month nitarelease mzigo wa text za simu zake zote mtajiona wazembe...asulubiwe...engineering ethics zinanibana tu hapa nilipo
 
tumemvumilia vya kutosha na amehujuma CHADEMA vya kutosha ili tu apate madaraka. Chuki aliyo nayo kwa wanachadema wengine na viongozi wakuu wengine itakuwaje kukaa naye tena pamoja? Zito kuanzia mwanzo alikosea kuvuruga chama kupitia ccm na kukubali kupokea fedha kutoka CCM na wabaya wa CHADEMA akijua akishakidhoofisha ndo aje achukue nafasi ya UENYEKITI. He is wrong na hawezi kuaminiwa kwa njia yoyote ile. Hatujui moyoni kapanga nini na tukumbuke sana jinsi alivyoshiriki katika mateso kwa W. Lyakatare na wale vijano wote walioteswa mateso yasiyo ya kawaida ili tu wawataje viongozi wa juu wa CHADEMA kuwa walimteka Ulimboka, Kibanda, Mauwaji ya Igunga na kupanga mauaji ya Msaki ambaye amekua akimmotivate kupitia magazeti ya Mwananchi. Zito hata aseme nini hafai popote!!! Ukishafikia hali ya kuhongwa na kusaliti mlio katika mapambano hata kwa hali gani haikubaliki. Ni bora aende pengine ili atulie na ajifunze kwa kuwa bado kiburi chake na washirika wake ni kuwa chadema itakufa. Ni vyema tubaki na watu wenye nidhamu wachache ambao ni ghali na wanasimamia gemocrasia ya kweli. Democrasia anayoiongea Zito ni ipi hiyo? Ya usaliti? Yaku kupanga njama za Mauaji na mateso ya wanachama na viongozi? Kuuza utu na wako? kuuza majimbo? kutompiga kampeni mgombea wa chama chako? kupandikiza chuki? KUdharau waasisi? kudharau wanachama na viongozi wengine? Kusema uongo? Hapa zito mimi hii hapana. Nenda watakokokubali urahisi wako wa kufanya yote unayoyafanya na sio Chadema. Kufukuzwa kwa Zito ni Sherehe kwa wanademocrasia wa kweli. akiona vipi aende mahakamani, atumie magazeti ya mafisadi wanaomhonga na kumlisha. Ni ajabu sana tukimrudisha huyu hypocrite / easy going creature.
 
1. Hujajibu swali.
2. Mtu anayetafuta kupendwa hawezi kamwe kuchukua positions zilizo unpopular kwa wengi kama mimi.
3.Mtu anayetafutwa kupendwa na wanachadema hawezi kuwa anawachana viongozi wa pande zote wa CHADEMA kama mimi, kuanzia Zitto, Slaa, Mbowe mpaka vifaranga vyao..
4. "Faggot" is so random, ad-hominem, so made up, so weak, so pointless, that I can't even begin to dignify it with a response.

respect
 
Sasa binti hebu twende taratibu, kwa hiyo mume wako ni Ccm ww sio Ccm siyo? Kwa hiyo ww unaweza kutusaidia kuupata ukweli juu ya haka kadubwasha siyo?( Ni PM) FANYA HIYO KAZI BINTI ILI TUISAIDIE JAMII

mmmmmh unalipwa sh ngapi?? acha kujishaua mkuu..............siasa tu hizi

huwezi amini huyo mbowe na zitto hata leo lunch walikuwa wote, chuki tu
 
mkuu mbona wewe hayo unayonishauri ndio yanayokutesa wewe, kwa taarifa yako si mbowe wala slaa anayenifahamu hata kwa jina tu ila natambua ndio watetezi wetu halisi
 
jamaa ni msaliti wa kutupwa nina call records zake pia text zake kibao nikiwa IT voda na tigo,nikipata kazi Bima naziachia jamaa ni nyoka apigwe chini mimi muha mwenzie ila jamaa sio,mapema ijumaa saa nne asubuhi apigwe chini,chadema cc wakishindwa end of this month nitarelease mzigo wa text za simu zake zote mtajiona wazembe...asulubiwe...engineering ethics zinanibana tu hapa nilipo
saaaaaaaaaaafiiiiiiii tupe hayooooooo
 
tumemvumilia vya kutosha na amehujuma CHADEMA vya kutosha ili tu apate madaraka. Chuki aliyo nayo kwa wanachadema wengine na viongozi wakuu wengine itakuwaje kukaa naye tena pamoja? Zito kuanzia mwanzo alikosea kuvuruga chama kupitia ccm na kukubali kupokea fedha kutoka CCM na wabaya wa CHADEMA akijua akishakidhoofisha ndo aje achukue nafasi ya UENYEKITI. He is wrong na hawezi kuaminiwa kwa njia yoyote ile. Hatujui moyoni kapanga nini na tukumbuke sana jinsi alivyoshiriki katika mateso kwa W. Lyakatare na wale vijano wote walioteswa mateso yasiyo ya kawaida ili tu wawataje viongozi wa juu wa CHADEMA kuwa walimteka Ulimboka, Kibanda, Mauwaji ya Igunga na kupanga mauaji ya Msaki ambaye amekua akimmotivate kupitia magazeti ya Mwananchi. Zito hata aseme nini hafai popote!!! Ukishafikia hali ya kuhongwa na kusaliti mlio katika mapambano hata kwa hali gani haikubaliki. Ni bora aende pengine ili atulie na ajifunze kwa kuwa bado kiburi chake na washirika wake ni kuwa chadema itakufa. Ni vyema tubaki na watu wenye nidhamu wachache ambao ni ghali na wanasimamia gemocrasia ya kweli. Democrasia anayoiongea Zito ni ipi hiyo? Ya usaliti? Yaku kupanga njama za Mauaji na mateso ya wanachama na viongozi? Kuuza utu na wako? kuuza majimbo? kutompiga kampeni mgombea wa chama chako? kupandikiza chuki? KUdharau waasisi? kudharau wanachama na viongozi wengine? Kusema uongo? Hapa zito mimi hii hapana. Nenda watakokokubali urahisi wako wa kufanya yote unayoyafanya na sio Chadema. Kufukuzwa kwa Zito ni Sherehe kwa wanademocrasia wa kweli. akiona vipi aende mahakamani, atumie magazeti ya mafisadi wanaomhonga na kumlisha. Ni ajabu sana tukimrudisha huyu hypocrite / easy going creature.
For sure wakimwacha huyu jamaa sitahangaika kutumia nguvu na gharama kujenga nyumba ambayo kuna mwanaitimu anaibomoa na ntarudi nyuma kabisa ktk siasa za bongo maana awali kabla ya cdm sikupata kuwa mwanachama wa chama chochote ila nilijiunga na jeshi hili kutokana na sera zao bora na hasa uwajibikaji so wakiivunja sera ilonivutia maana yake automatically wananifukuza mimi na wengine wapambanaji wa kweli
 
jamaa ni msaliti wa kutupwa nina call records zake pia text zake kibao nikiwa IT voda na tigo,nikipata kazi Bima naziachia jamaa ni nyoka apigwe chini mimi muha mwenzie ila jamaa sio,mapema ijumaa saa nne asubuhi apigwe chini,chadema cc wakishindwa end of this month nitarelease mzigo wa text za simu zake zote mtajiona wazembe...asulubiwe...engineering ethics zinanibana tu hapa nilipo

Engineering ethics ushazivunja tayari, sema jingine.
 
Ha ha ha I love Chadema, I love democracy, but I don't see light at the end of the tunnel, I see self destruction from in within ---- politics let's make money, Mbowe is making money, same as Zitto so why wasting my time on personal issues
 
Duuuu mpaka Leo tarehe 7/1/2014 hajavuliwa 2 huo uanachama? Hatma ya Mahakama imeshamvua Leo au? Mana me nilikuwa sokoni!
 
jamaa ni msaliti wa kutupwa nina call records zake pia text zake kibao nikiwa IT voda na tigo,nikipata kazi Bima naziachia jamaa ni nyoka apigwe chini mimi muha mwenzie ila jamaa sio,mapema ijumaa saa nne asubuhi apigwe chini,chadema cc wakishindwa end of this month nitarelease mzigo wa text za simu zake zote mtajiona wazembe...asulubiwe...engineering ethics zinanibana tu hapa nilipo

Haya Ndg yetu Mahakama ishagonga nyundo yake jamaa Mwepec kisha shika mpini sasa tumwagie hizo text za vithibitisho au zilikuwa mbwembwe za jamvini tu??
 
Pamoja na ukweli kwamba Zitto aweza kufukuzwa CHADEMA, pamoja na ukweli kwamba mwenendo wake kichama una harufu ya usaliti, ni kujidanganya kuamini kwamba uongozi uliopo sasa unaendesha chama kisayansi. Ni kweli Zitto ametindikiwa na nidhamu kichama, lakini ukweli wake na wa marehemu Chacha Wangwe wapaswa kupewa uzito wake ili kukinusulu chama hiki na anguko linalotokana na maono mafupi yanayojali zaidi matunda ya sasa!
 
Back
Top Bottom