Recent content by kipinduka

  1. K

    JamiiForums Tanzania BARAZA la Kikwete Vs BARAZA la Mawaziri Kivuli, dhana ya ukubwa wa serikali na matumizi makubwa

    hv ukitafuta zaid ya hao chadema wapo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina Wanachama wangapi?

    CHADEMA ina wanachama au mashabiki?
  3. K

    JamiiForums Tanzania MAZISHI ya Hayati Mohamed Ali (Bob) Nyanga Makani, Juni 13,2012

    he! Huyu makamu mwenyekit wa CHADEMA anasubir misiba 2
  4. K

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Maandalizi ya Heshima za mwisho na Mazishi ya Mh Bob N. Makani

    r.i.p makani
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

    toka Tido apate mshikemshike serikalin ndio anafidia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr. Slaa kuhusu hoja za ccm Jangwani - CCM mna majibu ya tuhuma hizi??

    CCRBT atupe majibu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru sana mh. Nape!

    mungu abalik,wapige kelele cc vitendo zaid
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA - Heche, Mnyika na Silinde ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro!

    Hv cdm hamjiuliz kuwa hao wasom huwa wanabak mijin lin wataenda vijin,ila sasa hv ham2dangany mwaka juz mulisema eti saluj ni buku 5 ingewezekana kule kwa padr mwenyewe hali ni tete,
  9. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA - Heche, Mnyika na Silinde ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro!

    Mi nafikir baada ya muda utasikia mgomo hapo mzumbe alafu wakifukuzwa wanalalama,wenzenu wanaenda magogon kunywa kahawa na kashata,baadae unakuwa kama lema na mwenyekit na elimu za ajabu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Madaktari: Hakuna anayerudi kazini kesho!

    Mdomo huchongea kichwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete bingwa wa safari kuliko Marais wote duniani

    we umesema maraic wote hv nch zote umeweka hapo,acha ku2mia mawazo dhanifu badala yakinifu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mhe. Maige unatania au wamaanisha?

    we ulitakaje?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la mwananchi lina/limepoteza weledi

    kwa vile kaguswa padre
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenye updates kuhusu walokosa ajira za walimu wa shahada!

    kafel wote wenye sifa wameenda kuripoti au hakuomba muulize vzr
  15. K

    JamiiForums Tanzania NItashangaa sana siku Dodoma mjini ikichukuliwa na wapinzani

    fikra mgando huzaa mawazo mpauko,mpaka padre aache kugombea,cc ha2wez kupeleka mfumo ndana wa cdm pale magogoni
Back
Top Bottom