BARAZA la Kikwete Vs BARAZA la Mawaziri Kivuli, dhana ya ukubwa wa serikali na matumizi makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BARAZA la Kikwete Vs BARAZA la Mawaziri Kivuli, dhana ya ukubwa wa serikali na matumizi makubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumaini Makene, Jun 21, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180


  ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI BARAZA LA KIKWETE


  MAWAZIRI

  1. OFISI YA RAIS

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
  Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
  Ndugu George Mkuchika, Mb.,

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
  Ndugu Celina Kombani, Mb.,


  2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
  Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
  Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,


  3. OFISI YA WAZIRI MKUU

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
  Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
  Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
  Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,


  4. WIZARA

  Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

  Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
  Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

  Waziri wa Ujenzi
  Dr. John P. Magufuli, Mb.,

  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
  Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
  Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
  Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

  Waziri wa Katiba na Sheria
  Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
  Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

  Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
  Dr. David M. David, Mb.,

  Waziri wa Kazi na Ajira
  Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
  Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
  Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,

  Waziri wa Maji
  Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,

  Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
  Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
  Eng. Christopher Chiza, Mb.,


  Waziri wa Uchukuzi
  Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
  Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

  Waziri wa Maliasili na Utalii
  Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

  Waziri wa Viwanda na Biashara
  Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

  Waziri wa Fedha
  Dr. William Mgimwa, Mb.,

  Waziri wa Nishati na Madini
  Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,


  5. NAIBU MAWAZIRI


  OFISI YA RAIS

  HAKUNA NAIBU WAZIRI


  6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

  Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
  Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,


  7. OFISI YA WAZIRI MKUU

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
  Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
  Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,  8. WIZARA MBALIMBALI

  Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
  Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

  Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
  Ndugu Adam Malima, Mb.,

  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
  Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
  Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
  Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
  Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
  Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
  Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

  Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
  Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

  Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
  Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

  Naibu Waziri wa Ujenzi
  Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

  Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
  Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

  Naibu Waziri wa Nishati na Madini
  Ndugu George Simbachawene, Mb.,

  Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
  Ndugu January Makamba, Mb.,

  Naibu Waziri wa Uchukuzi
  Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

  Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
  Ndugu Amos Makala, Mb.,

  Naibu Waziri wa Maji
  Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

  Naibu Waziri Nishati na Madini
  Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

  Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
  Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

  Naibu Waziri wa Fedha
  Ndugu Janet Mbene, Mb.,

  Naibu Waziri wa Fedha
  Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,


  Ukiangalia Baraza Kivuli Jipya hapa chini unaweza kuona tofauti kubwa iliyopo katika structure, hasa katika idadi ya wizara na mawaziri. Baraza Kivuli lina mawaziri 22 tu Vs 50+ wa serikali ya CCM. Wizara 18 Vs Wizara 30 za serikali ya CCM.

  Sambamba na kupunguzwa kwa idadi ya wizara na ukubwa wa baraza, Mawaziri wa Baraza Kivuli wamepunguzwa kutoka 32. Watu 10 wamepunguzwa katika baraza badala ya kuongezwa kama afanyavyo Rais Jakaya Kikwete. Huu nao unaweza kuwa udhaifu kwa rais wetu. Kukosa uwezo wa kuchagua watu wachache makini wenye ufanisi badala ya kuwa na lundo kubwa la wabadhirifu wanaonuka tuhuma za ufisadi everywhere.

  Pia udhaifu mwingine unaweza kuonekana kwa kukosa uwezo wa kuunda wizara chache zenye ufanisi kuokoa gharama na matumizi ya kawaida ya uendeshaji serikali ambayo yana athari kubwa sana kwa maendeleo ya walipa kodi. Kisa kuridhisha kila mpiga kampeni, kada mahiri
  wa CCM, marafiki, ndugu, jamaa, marafiki wa mwana na kuridhisha kila kanda na kila mkoa na hatimaye kila wilaya kutoa waziri.


  BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI NA MABADILIKO YA WIZARA KIVULI

  [TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
  [TR]
  [TD] No.[/TD]
  [TD] WIZARA KIVULI[/TD]
  [TD="width: 132"] WIZARA YA SERIKALI[/TD]
  [TD="width: 135"] KAMATI HUSIKA YA BUNGE[/TD]
  [TD="width: 132"] WAZIRI KIVULI[/TD]
  [TD="width: 90"] NAIBU WAZIRI[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 1.[/TD]
  [TD="width: 172"] OFISI YA WAZIRI MKUU[/TD]
  [TD="width: 132"] OFISI YA WAZIRI MKUU[/TD]
  [TD="width: 135"] -SHERIA NA KATIBA,
  -FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO
  [/TD]
  [TD="width: 132"] KUB- FREEMAN A.MBOWE[/TD]
  [TD="width: 90"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 2.[/TD]
  [TD="width: 172"]
  WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU

  [/TD]
  [TD="width: 132"] 1.SERA,URATIBU NA BUNGE
  2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI
  3. TAMISEMI-
  ELIMU
  -TAWALA ZA MIKOA
  [/TD]
  [TD="width: 135"]
  -do-
  [/TD]
  [TD="width: 132"] DAVID ERNEST SILINDE[/TD]
  [TD="width: 90"]

  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 3.[/TD]
  [TD="width: 172"] MIUNDOMBINU[/TD]
  [TD="width: 132"] UJENZI NA UCHUKUZI [/TD]
  [TD="width: 135"] MIUNDOMBINU[/TD]
  [TD="width: 132"] SAID ARFI[/TD]
  [TD="width: 90"] PAULINE GEKUL[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 4[/TD]
  [TD="width: 172"]
  WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS
  [/TD]
  [TD="width: 132"] OFISI YA RAIS
  1-UTAWALA BORA
  2-MAHUSIANO NA URATIBU
  3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA
  [/TD]
  [TD="width: 135"] -SHERIA NA KATIBA.
  -FEDHA NA UCHUMI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] PROF. KULIKOYELA KAHIGI[/TD]
  [TD="width: 90"]

  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 5.[/TD]
  [TD="width: 172"] FEDHA UCHUMI NA MIPANGO[/TD]
  [TD="width: 132"] WIZARA YA FEDHA [/TD]
  [TD="width: 135"] FEDHA NA UCHUMI[/TD]
  [TD="width: 132"] ZITTO KABWE[/TD]
  [TD="width: 90"] CHRISTINA MUGHWAI [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 6.[/TD]
  [TD="width: 172"] KATIBA SHERIA NA MUUNGANO[/TD]
  [TD="width: 132"] KATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO[/TD]
  [TD="width: 135"] SHERIA NA KATIBA[/TD]
  [TD="width: 132"] TUNDU A.LISSU[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 7.[/TD]
  [TD="width: 172"] MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA[/TD]
  [TD="width: 132"] MALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA[/TD]
  [TD="width: 135"] MALIASILI NA MAZINGIRA[/TD]
  [TD="width: 132"] MCH.PETER MSIGWA[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 8.[/TD]
  [TD="width: 172"] MAMBO YA NDANI YA NCHI[/TD]
  [TD="width: 132"] MAMBO YA NDANI[/TD]
  [TD="width: 135"] MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA[/TD]
  [TD="width: 132"] VICENT NYERERE[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 9.[/TD]
  [TD="width: 172"] MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI[/TD]
  [TD="width: 132"] MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI[/TD]
  [TD="width: 135"] MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA[/TD]
  [TD="width: 132"] EZEKIAH D.WENJE[/TD]
  [TD="width: 90"] RAYA IBRAHIM KHAMIS[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 10.[/TD]
  [TD="width: 172"] ULINZI NA JKT[/TD]
  [TD="width: 132"] ULINZI NA JKT[/TD]
  [TD="width: 135"] MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] MCH.ISRAEL NATSE[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 11.[/TD]
  [TD="width: 172"] MAJI,MIFUGO NA UVUVI[/TD]
  [TD="width: 132"] MAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI[/TD]
  [TD="width: 135"] KILIMO ARDHI NA MAJI[/TD]
  [TD="width: 132"] SYLVESTER M.KASULUMBAYI[/TD]
  [TD="width: 90"]
  SABREENA HAMZA

  SUNGURA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 12.[/TD]
  [TD="width: 172"] KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO[/TD]
  [TD="width: 132"] HABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRA[/TD]
  [TD="width: 135"] MAENDELEO YA JAMII[/TD]
  [TD="width: 132"] JOSEPH O.MBILINYI[/TD]
  [TD="width: 90"] CECILIA PARESSO[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 13.[/TD]
  [TD="width: 172"] NISHATI NA MADINI[/TD]
  [TD="width: 132"] NISHATI NA MADINI[/TD]
  [TD="width: 135"] NISHATI NA MADINI[/TD]
  [TD="width: 132"] JOHN MNYIKA[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"]
  [/TD]
  [TD="width: 172"]
  [/TD]
  [TD="width: 132"]
  [/TD]
  [TD="width: 135"]
  [/TD]
  [TD="width: 132"]
  [/TD]
  [TD="width: 90"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 14.[/TD]
  [TD="width: 172"] VIWANDA NA BIASHARA[/TD]
  [TD="width: 132"] VIWANDA NA BIASHARA[/TD]
  [TD="width: 135"] VIWANDA NA BIASHARA[/TD]
  [TD="width: 132"] HIGHNESS KIWIA[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 15.[/TD]
  [TD="width: 172"] AFYA, JINSIA NA JAMII[/TD]
  [TD="width: 132"] AFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO[/TD]
  [TD="width: 135"] -HUDUMA ZA JAMII
  -MAENDELEO YA JAMII
  [/TD]
  [TD="width: 132"] DR. GERVAS MBASSA[/TD]
  [TD="width: 90"] CONCHESTA RWAMLAZA[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 16.[/TD]
  [TD="width: 172"] ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA[/TD]
  [TD="width: 132"] ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO[/TD]
  [TD="width: 135"] -HUDUMA ZA JAMII
  -MIUNDOMBINU
  [/TD]
  [TD="width: 132"] SUZAN A.LYIMO[/TD]
  [TD="width: 90"] JOSHUA NASSARI[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 17.[/TD]
  [TD="width: 172"] KILIMO NA USHIRIKA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA[/TD]
  [TD="width: 135"] KILIMO, MIFUGO NA MAJI
  [/TD]
  [TD="width: 132"] ROSE SUKUM KAMILI[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 36"] 18.[/TD]
  [TD="width: 172"] ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI[/TD]
  [TD="width: 132"] ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI[/TD]
  [TD="width: 135"] ARDHI, MALIASI NA MAZINGIRA
  [/TD]
  [TD="width: 132"] HALIMA MDEE[/TD]
  [TD="width: 90"]
  -
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Unaweza kuona dhahiri hapa namna ambavyo Kambi Rasmi ya Upinzani wanavyoonesha kwa vitendo dhana ya kupunguza matumizi makubwa ya anasa, yanayosababisha mzigo mkubwa kwa walipa kodi, wananchi maskini na maendeleo yao!

  Mfano wa matumizi makubwa yanayosababishwa na ukubwa wa serikali, hasa katika eneo la ukubwa Baraza la Mawaziri; katika bajeti hii ya mwaka 2012/2013 inayopigiwa kelele na kupingwa kwa hoja sadifu kwenye hii 'another silly season', Baraza la Mawaziri pekee, yaani matumizi ya wizara mbalimbali katika zile fedha za matumizi ya kawaida, limechukua takriban trilioni 3, wakati serikali za mitaa ambako ndiko wananchi waliko zimepewa Bilioni 700 pekee.

  This is a disaster to CCM na its govt and nobody else. Asanteni. Tujadili wakubwa;

   
 2. k

  kipinduka Senior Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hv ukitafuta zaid ya hao chadema wapo?
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona simuoni Prof. Mwandosya?
   
 4. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180

  Kamanda simple logic tu....kama walikuwa zaidi na hao na wengine hawakuteuliwa katika lile baraza la awali, bado hoja yako ina mantiki mpaka hapo. Natumaini umenielewa mkuu. Karibu.
   
 5. D

  Danho Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao jamaa wanatunyanyasa kwa kweli, trilion 3 na bilion 700 wapi kwa wapi..!kama MUNGU angejaribu kuwaonjesha maisha anayoishi mtu maskini wala wacngejipangia kiasi chote cha pesa..! Ila watanzania wenzangu tujitume wao waache wale kupitia jasho la mnyonge..! Kila lenye mwanzo lina mwisho.
   
 6. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakuna cdm wegine kweli hatari Kama ni genius hawezekani uwe na vyeo Kama alivyorundikiwa mbowe kwa tz yeti , hhawezi hawezi, huko ni kuwadanganYa watz , cdm mbona mnashindwa kufikiri. Kwanza wabunge wote wa cdm ni mwaziri, uliona wapi. Huu ni mchezo wa kuigiza wacheni watz waamue Chama cha ukanda namna hii mi karibia nakihama nimeshachoka na ubabe wa viongozi.
   
 7. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  naibu waziri wa ujenzi ni ENGINEER
   
 8. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kazi nzuri kwa mbowe,sema kiuhalisia kila wizara inatakiwa kuwa na naibu,ikitokea anaumwa siku ya bunge nani atasimama badala yeke?
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu anajuwa tuna Halmashauri ngapi ili tuweze kufanya estimates za watu walio kwenye Halmashauri?
  Tsh 3 trillion kuhudumia office zinazokaliwa na watu 55 vs. Tshs 700 billion Halmashauri ......?
   
 10. b

  bdo JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  kazi kwelikweli, ndio maana kuna baraza la mawaziri (kwa pamoja linafanyakazi kwa pamoja) ministrial responsibilities, upo mkuu, hapa hakuna mambo ya kusutana kama cabinet ya magamba
   
 11. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Kamanda usiwadanganye watu kuwa wewe ni mwana-CHADEMA kwa hoja zako hizi mfu. Endelea kuvaa gamba mpaka ubakie wewe na akina Nape na EL mgawane mbao vizuri siku zijazo kabla ya 2015 au wakati huo. Unaimba nyimbo za akina Nape na Mkama kisha unasema wewe ni pipoooo, acha hizo.
   
 12. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chadema maigizo hivi vituko tupu.
   
 13. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mambo ya wizara sio mepesi hivyo ndugu yanahitaji commitment ,mtu adedicate muda sio mambo ya kutoa taarifa tu vingine vitakushinda. itawezekana vipi waziri wa afya asiwasilishe bajeti ya ujenzi ikiwa wa ujenzi mmoja anaumwa?angeongeza walau hao manaibu sita ndugu yangu,wote tuko pamoja cdm lakini hapo mbowe kazidi,hatuendi hivyo.
   
 14. b

  bdo JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Hata cjui Mbowe kazidi nini hapo
   
 15. N

  NANKY Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  this shows chadema can deliver at lower cost compared to what ccm is doing,remember that there are no technical officials to shadow cabinet but their output during presentation of this very silly season is of high credit compared to silly cabinet of silly party(ccm),ccm members hereby ur very narrow in thinking thus to compete with CDM(M4C) You have to attend three years trainin from prof.kabud,mkandala,mgaya,maboko and dr BANA YOU FELLOW gambas
   
Loading...