Viongozi wa CHADEMA - Heche, Mnyika na Silinde ndani ya Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro!

Hawana jeuri hiyo. Wao ni kaskazini tu.... wanashindwa kujua kuwa nchi yetu haina mfumo wa vyama vya kisianza vya majimbo bali vinatakiwa kuwa vya kitaifa.

Haya maneno yako muda si mrefu utakuja kuyajutia, ukiwa muungwana utakujja kukiri hadharani lakini usipokuwa muungwana utakiri kimoyomoyo.

Ni mwaka juzi tu mwezi october mwenyekiti wako alikuwa akiibeza chadema kuwa ni chama cha msimu, lakini sasahivi anatamani chadema isambaratike ili apumue!
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.
kasi mpya,nguvu mpya na hari mpya mkaja kasi zaid,nguvu zaidi na hari zaidi na sasa mmejaribu mnedhubutu na mnasongambele.WANANCHI wanalia mgao wa umeme,garama za maisha zimepanda na sasa madaktar wamegoma mojwari zimeshehen miili.
 
Taarifa nilizozipokea hivi punde ni kuwa viongozi kadhaa wa Chadema wanaingia mjini Morogoro muda huu kufanya mkutano Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaliko wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya wanaChadema tawi la Chuo Kikuu Mzumbe.

Msafara huo unawajumuisha Makamanda John Heche(M/kiti Bavicha), John Mnyika(Mbunge Ubungo) na David Silinde(Mbunge Mbozi Magharibi).

Agenda za mkutano ni pamoja na matatizo ya wanafunzi wa elimu ya juu,Mgomo wa madaktari, katiba mpya, mfumko wa bei, pamoja na mengine mengi.

Kwa wale mliopo morogoro mnakaribishwa chuo kikuu mzumbe kusikiliza ujumbe toka kwa makamanda.
Mkuu ahsante sana kwa taharifa hizi....hakika chadema ni chama makini sana.
 
Nakumbuka katika shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Regia Mtema viwanja vya Karimjee Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akitoa salamu za Chama alisema "Viongozi wazuri hawazuki bali huandaliwa" akaendelea kusema kuwa "tunapokwenda katika vyuo kuhamasisha wanafunzi si kuchochea migomo bali kuwaandaa vijana kwa falsafa yetu ya Leadership development"

Sasa huu ndio mwendelezo wa maneno ya mkuu wa Magwanda? Lakini pia hadi leo huwa najiuliza Je yeye (Mbowe), na DR.SLAA, Mpendazoe, Shibuda na wengine waliandaliwa na nani? Nendeni vijijini mkafungue matawi kwa wingi na mtawanyike nchi nzima kuliko kukomaa kanda ya kaskazini na vyuoni.... hao watoto mnaowashawishi ni sehemu ndogo ya wapiga kura. [/QUOTE wao walifundishwa na nyerere. Kumbuka hata hao wa wasomi wa chuo nao wametokea vjijini na baadhi ya familia zao zipo vjijini na tambua msomi m1 anawakilisha mwananchi wa kawaida zaidi ya kumi.
 
Yap yap, moto wa chadema unazidi kuwaka.
Nimekutana na gari ya matangazo hapa mwenge, wanatangaza kuna mkutano mwingine kwa Ali maua.

Watakaopanda jukwaani ni makamanda Godbless Lema na Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu pamoja na wengine!

Yes tunaitaka kinondoni 2015, maana kosa lilifanyika 2010 halitakiwi kurudiwa tena! Haiwezekani kinondoni yalipo makao makuu ikaendelea kuwa chini ya magamba.
 
Yes tunaitaka kinondoni 2015, maana kosa lilifanyika 2010 halitakiwi kurudiwa tena! Haiwezekani kinondoni yalipo makao makuu ikaendelea kuwa chini ya magamba.

Hii ni operation kabambe ya kuwapa wananchi elimu ya kutambua haki zao na njia sahihi ya kuzidai. Pia ni muhimu wakatambua wajibu wao kwa viongozi waliowapa dhamana ya kuwaongoza nma namna ya kuwawajibisha wanapoboronga.

Matatizo yamekuwa mengi hadi kupoteza matumaini kidogo yaliyokuwepo!
 
Mods unganisheni hii thread na ile ya mr.mzumbe ili kuwa na mwendelezo toka kwa waliopo eneo la tukio.
 
Mi nafikir baada ya muda utasikia mgomo hapo mzumbe alafu wakifukuzwa wanalalama,wenzenu wanaenda magogon kunywa kahawa na kashata,baadae unakuwa kama lema na mwenyekit na elimu za ajabu
 
Tunakushukuru mkuu maana wafanyakazi na wasomi tayari CDM imewabamba na sasa tumeamia kwa wakulima na wafanyabiashara ili nao tukawashike

Huyo anayesema nccr na cuf za miaka ile namshauri alinganishe advancement za vyama hivi katika graph alafu apime mwenyewe...

Alafu ajabu na kweli CDM haitafuti ccm ilale,CDM inatafuta wananchi waamke na siku wananchi wakiamka ndo mtajua kama ccm inatakiwa kulala ama kulazwa
 
Sasa huu ndio mwendelezo wa maneno ya mkuu wa Magwanda? Lakini pia hadi leo huwa najiuliza Je yeye (Mbowe), na DR.SLAA, Mpendazoe, Shibuda na wengine waliandaliwa na nani? Nendeni vijijini mkafungue matawi kwa wingi na mtawanyike nchi nzima kuliko kukomaa kanda ya kaskazini na vyuoni.... hao watoto mnaowashawishi ni sehemu ndogo ya wapiga kura.
usijidandanye hawa ni sehemu kubwa sana kwa sababu kuu mbili
  1. kama si wapiga kura sasa watakuwa wapiga kura kesho (2015)
  2. hawa wanatoka sehemu mbalimbali za Tanzania kuwapa elimu hii wao watakuwa walimu wa wengine huko wanako kwenda kumbuka kuwa hawa ni wasomi uwezo wao wa kuelewa ni mkubwa na kuelimisha wengine pia ni mkubwa " CHADEMA WANAONA MBALI MKUU "
 
Hv cdm hamjiuliz kuwa hao wasom huwa wanabak mijin lin wataenda vijin,ila sasa hv ham2dangany mwaka juz mulisema eti saluj ni buku 5 ingewezekana kule kwa padr mwenyewe hali ni tete,
 
Hv cdm hamjiuliz kuwa hao wasom huwa wanabak mijin lin wataenda vijin,ila sasa hv ham2dangany mwaka juz mulisema eti saluj ni buku 5 ingewezekana kule kwa padr mwenyewe hali ni tete,
We kilaza tulia hivyohivyo unyolewe, acha kup;ata kiwewe:poa
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.

Hata kama hawakufanikiwa katika vipindi ulivyovitaja usijeshangaa itakapotokea tofauti na unavyotegemea maana kila siku si jumapili!
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.

Si una masabiri, ongezea yenu na masaburi...
 
- Mwaka 1995 NCCR - Mageuzi ya Mrema walisema hivyo.

- Mwaka 2000/2005 CUF nao walisema hivyo.

- Mwaka 2010 CHADEMA ya DR.Slaa mkasema hivyo
haikuwa na sasa "one day yes" .... Haya bana
yetu macho na masikio.

Na safari hii ni zamu yenu kusema. Huusomi mchezo wewe?
 
Nakumbuka katika shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Regia Mtema viwanja vya Karimjee Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akitoa salamu za Chama alisema "Viongozi wazuri hawazuki bali huandaliwa" akaendelea kusema kuwa "tunapokwenda katika vyuo kuhamasisha wanafunzi si kuchochea migomo bali kuwaandaa vijana kwa falsafa yetu ya Leadership development"

Sasa huu ndio mwendelezo wa maneno ya mkuu wa Magwanda? Lakini pia hadi leo huwa najiuliza Je yeye (Mbowe), na DR.SLAA, Mpendazoe, Shibuda na wengine waliandaliwa na nani? Nendeni vijijini mkafungue matawi kwa wingi na mtawanyike nchi nzima kuliko kukomaa kanda ya kaskazini na vyuoni.... hao watoto mnaowashawishi ni sehemu ndogo ya wapiga kura.

Kumbuka kuwa vyuo vinajumuisha makundi yote uliyoyataja.
 
Back
Top Bottom