CHADEMA ina Wanachama wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ina Wanachama wangapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Borakufa, Jun 15, 2011.

 1. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hey pipoo

  Chama kina kinachanja mbuga! kwa sasa kinamashabiki, wakereketwa na wapenzi kibao! lakini bado zijaziona juhudi za makusudi za kuhakikisha wale wote wanaoonyesha mapenzi makubwa kwa chama chetu wanapewa uwanachama haraka. Tunayo miaka 4 tu ya kufanya kazi kwa bidii ili kuufikia ukombozi.

  Sizioni ofisi za maana hata katika zile sehemu ambazo chama kina nguvu kubwa kiasi kutilia shaka kumbukumbu za wanachama kama zipo!
  Tunapenda kuona ofisi za chama kwenye kila kata, wilaya, mkoa hata kama sehemu husika ina mwanachama mmoja tu wa cdm! Dr. hakikisha Heche na wenzake wote hawakai waanzishe youth clubs kila kata wilaya na mkoa ambazo zitakuwa zinawakutanisha vijana mbalimbali ili kuwaweka pamoja katika mambo mbalimbali ya kijamii kama shughuli mbalimbali za maendeleo,michezo n.k

  Tunataka mpaka 2014 tuwe na wanachama 20,000,000 walio hai na record zao zikiwa wazi kabisa. Tufungue matawi jamani tuchangishane jamani tulipie kodi za mapango jamani tukipata wanachama wengi kwenye kila tawi tunaweza kununua nyumba au hata kujenga ofisi kwa kuchangishana.

  VIVA CDM
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu, hapo umenena.. nadhani kina Dr. Slaa wafanye juu chini pia wanaandaa vijana wakujashika nafasi, si unajua personnel iliyopo kwa asilimia kubwa ni ccm. vijana tunaweza!
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Miliion 20!? Mbona Slaa alisema hiyo ilikuwa janja ya nyani wanapaswa kupiga kura Bongo lala hawafiki 20milioni ukitoa watoto katika 40milion ya Wabongo!
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ajitahidi kurecruit bhanaaaaa!
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Atl least 10,000,000 basi
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kufungua ofisi (physical buildings) kila mahali. Haya ni mambo ya kizamani na gharama ambazo si lazima. CHADEMA waondokane na kasumba mbaya iliyoasisiwa na CCM ya kuwa na office kila kata hata vijiji. Sasa hivi tuko kwenye science & technology, tuna internet, lakini cha muhimu zaidi tuna simu (mobile phones) wanachotakiwa ni kuwa na number za simu za wafuasi wao na kuwasiliana nao mara kwa mara (Virtual offices).

  Kwa mfano, kila jimbo lenye mbunge ajitahidi kuwa na number za wafuasia, kama hakuna mbunge wanaweza kuteuwa kiongozi toka eneo husika. Huyu atakuwa anawasiliana nao kuhusu mambo muhimu ya chama, blunder za ccm, mapungufu ya bejeti ya serikali, wazo/mkakati mbadala wa chadema dhidi ya mapungufu hayo.

  Ni muhimu kama wataamua kutumia njia hii (sms) waitumie kwa mambo/hoja za msingi ili kuepeka kuchosha watu. e.g kipindi cha bunge wanaweza wakatuma messages mara nyingi zaidi kutokana na hoja za bungeni. lakini kama hakuna vikao vya bunge basi wanaweza wakawa wanatuma at least once a month kuhusu hoja fulani. (FOCUS on key national issues zinazowagusa wananchi kama hii ya posho, ndege ya kivita toka Qartar kutua KIA na kuchukuwa wanyama etc). Nadhani hii communication style itakuwa more effective kuliko tabia ya kunywa kahawa kwenye ofisi za ccm. CHADEMA needs to show they are different, in tune with the reality. KILA MBUNGE ATENGEZE ORODHA YAKE YA WATU WA KUMWAGA SUMU VINGINEVYO TBC ITAWAFUNIKA, NA HATA JF haifiki kwa wengi kama ungetumia sms. so use EVERYTHING, JF, SMS, FACEBOOK, TWITTER!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  population inaongezeka mkuu so its possible kabisga
   
 8. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maandanano lini?
  Maandamano lini?
  Maandamano lini?
  Maandamano lini baana?
  Miguu inawasha!!

   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hahahaha chama cha Maandamano! U have made ma night!
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,909
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  hatutoi elimu ya uraia ili watu wachukue card za chadema ambazo mwisho wa siku kenge wanazirudisha kwenye mikutano ya ccm bali tunatoa elimu ya uraia ili kuondoa ufisadi,unyonyaji,ukandamizaji,kutokuajibika na hatimae watanzania tujikomboe kutoka mikononi mwa wakoloni waliojibandika jina la ccm ,a mwisho wa siku turudishe nchi iliyo uzwa mikononi mwa watanzania.mia
   
Loading...