KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 197
kamanda wa ukweli hatasahaulika kwenye mafanikio ya cdm r.i.p MUDI NYANGA.
Kaskazini tena wakati Mzee Makani kwao Kanda ya Ziwa Shinyanga.
Mkuu Kimbunga kumbe umeanza harakati za siasa siku nyingi, huyu Mzee Makani nilikuwa namkubali sana nakumbuka wakati anagombea ubunge pale Shinyanga Mjini nilifika pale kwenye mikutano yake uwanja Kambarange na Ngokoro.
Aisee,kumbe ritz ulikuwepo na ulishuhudia jinsi Mzee Bob Makani alivyomchachafya 'Ng'wana Derefa'?na uliona jinsi CCM ilivyoanza kuchakakachua kura siku nyingi?..eeh pale ni NGOKOLO-sio Ngokoro (Wasukuma hawana 'R'). Unakumbuka pia picha yake (bango) la Bob lilivyokuwa limesheheni CV nzito (ingawa lilikuwa black and white)?Unakumbuka alivyokuwa akivuta umati wa watu na msisimko katika mikutano yake? Hiyo ilikuwa miaka ya tisini(Then watu wanasema mageuzi Shinyanga yameanza juzi!!).
Ritz hivi huwa unapumzika wewe kweli?
By the way sometimes unaongeaga point...tatizo lako tu ni pale u-magamba unapokupofusha macho!
kwa nini azikwe kaskazini wakati kwao kishapu mkoani shinyanga?