Kauli ya Dr. Slaa kuhusu hoja za ccm Jangwani - CCM mna majibu ya tuhuma hizi??

If you walk tall by a fugure of 11,000 km road length you need to be an intellectual zombie. Is that optimal Tanzania has to construct. Huna kilimo cha maana, huna viwanda vyote mmegawa, maana Tanzania miaka ya 70 ilikuwa na basic industries vilivyojengwa kwa jitihada kubwa ili Tanzania iweze kupiga maendeleo. Lakini vyote vimeuzwa. Sasa hizo barabara zisizokuwa na viwango ni kitu cha kujuvunia kiasi cha kufanya watu wasihoji na ni kitu gani kinasafarishwa kwa ajili ya nani.Kuhoji miundo mbinu ina maana barabara hizo hazitoshi na sio za viwango kulinganisha fedha inayotengwa. It's logic and not numbers. Na hapa hatulinganishi Nyerere, Mkapa, Mwinyi walijenga ngapi kulinganisha na Kikwete. Every epoch has its overturns
 
yani huyu Daktari bana, ni over CPU, Proccesor yake ni nomer jameni. hata jk analitambua hilo
 
Kilomita zaidi ya 11,000 kwa kipindi cha Kikwete tu ni upuuzi? huyu mzee kweli hamnazo.

Amesha jiuliza, Mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Kikwete na yeye akiwemo hukohuko kabla ya ujio wa Kikwete walitengeneza kilo mita ngapi? jumlisha zote pamoja na za Slaa, uone kama zinafika hata nuzu za hii miaka 7 tu ya Kikwete.

Kumbuka, ukitoa mkoloni, Nyerere miaka 24 KM ngapi? Mwinyi (na Slaa akiwepo)? Mkapa ngapi? Kiwete zaidi ya KM 11,000.

Amma kweli akutukanae hakuchagulii tusi.
Wewe ndio zoba kwelikweli!! Mawazo yako ni ya kichawi, la sivyo, wewe ni kipofu kabisa!!! Dr Slaa ame-compare fedha zinazoibiwa na kile ambacho ccm wanatamba majukwaani kuwa wamekifanya. Ameonyesha dhahiri kwamba upo ufisadi mkubwa sana wa fedha za umma. Sasa wewe huo ufisadi si kitu kwako??
 
Wataifuta hii nyuzi sasa hivi, wao wanaweka picha watu wanaanza kuingia uwanjani ndio wanasema za mkutano.
Hivi mkuu unatoka pori gani wewe?? Ama kweli wewe ni zoba kwelikweli!!! Mtoa mada anauliza iwapo ccm ina majibu ya tuhuma zilizotolewa na Dr Slaa. Sasa wewe unaleta utumbo gani hapa??
 
Zomba unanisikitisha, hivi unajua deni la taifa limekuwa kwa asilimia ngapi? Acha ushabiki usio na tija!
 
Zomba unajua charges pe km huku tz ukilinganisha na nchi nyingine? Fanya research ndio ulete majibu yako hayo!
 
Back
Top Bottom