Recent content by KiparaJ

  1. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hajasema kama ameacha/ameachwa au amefiwa na mwenza ,mbona mnamhukumu bila kuwa na uhakika?
  2. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

    Bond Kati ya mtoto na mama inajengwa taratibu kadili mtoto anavyokua akiwa na mama yake Kutokana na binti kuanza kujitambua akakuta yuko kwenye mikono ya watu wengine imemfanya asijenge bond na mama yake. Hapa panahitajika ushirikiano kati yako wewe na mzazi mwenzio ili kurudisha ukaribu wa...
  3. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania South Africa balaa kwa wachumba

    Hawajakushtukia wakutoe nduki?😂
  4. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Season 16 Special Thread

    Hivi Salama Jabir ana mtoto?
  5. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tezi dume toka St. John University iliishia wapi?

    Kipara changu mimi nakipenda kwanza hakiniumi,hakiniwashi alafu wife anaenda kukichezea muda wote nikiotesha nywele nitavunja ndoa
  6. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tezi dume toka St. John University iliishia wapi?

    Tulitangaziwa kwa mbwembwe mpk tukaambiwa zimeadimika baada ya hapo kimyaaaa Kumbe hadi wasomi wetu ni wapigaji!?
  7. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tezi dume toka St. John University iliishia wapi?

    Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma. Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji upasuaji Ila baada ya hapo haikusikika tena iliishia wapi?
  8. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

    Jiulize kwa nini kuna watu ni werefu na wengine ni wafupi Kwa nini wote tusiwe na kimo kimoja?
  9. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Hawa members maarufu JF wamepotelea wapi?

    Watu hawa ni wakongwe toka Enzi za Jambo forums Mshana Jr Faiza-Foxy @Getermycine Chief-Mkwawa etc
  10. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

    Mkuu unatumiwaje kwa email maana mimi nikitaka kuijiunga inaomba namba ya simu badala ya e mail
  11. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Naomba usaidizi: Uume hausimami

    Kwenye issues serious kama hizi mkuu tusifanye utani Ujue ni fedheha usiombe kukuyana na hii hali
  12. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Naomba usaidizi: Uume hausimami

    Usicheke mkuu hii mbaya ikikukuta mwanaume
  13. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume, imerudi tena

    Nahisi dalili zote za kuvimba kwa tezi dume nimepitia comments humu nimechanganyikiwa zaidi Ngoja nijipeleke hospital nione wataniambiaje
  14. KiparaJ

    JamiiForums Tanzania Teknolojia haiwezi kuzuilika, tunakoelekea kutakuwa na simu zinazotumia internet ya satelaiti hata internet ya minara ya mitandao ya simu ikizimwa

    Mbona hizo simu zipo kitambo mojawapo zinaitwa Thuraya zinatumiwa sana na vikundi vya waasi wanaokaa maporini ila ni gharama sana
Back
Top Bottom