Mkuu sema wewe ni 'sex f' huwezi jua fedheha itokanayo.Nilijua zipo, kwani mkuu usiposimama anapata shida gani?
⛔Uume wangu hausimami nina miaka 41
Duhh! Lakini kama haimuaffect anaishi nayo tu!Mkuu sema wewe ni 'sex f' huwezi jua fedheha itokanayo.
Fikiria mtu umeuza nyumba ama gari ukahonga, halafu ngoma ikasanda kusimama, kisaikolojia imekaaje hiyo?
Wee unadhani mwanaume kula kwa macho anapenda, ni fedheha kubwa sana, ndiyo maana watu kutwa kucha wanasaka tiba ama booster!Duhh! Lakini kama haimuaffect anaishi nayo tu!
Duhh hatari!Wee unadhani mwanaume kula kwa macho anapenda, ni fedheha kubwa sana, ndiyo maana watu kutwa kucha wanasaka tiba ama booster!
Usicheke mkuu hii mbaya ikikukuta mwanaumeHii kali sasa😂😂
Nilikuwa nacheka Kichwa cha Habari kiliandikwa kwa maneno magumu sana.Usicheke mkuu hii mbaya ikikukuta mwanaume
Kwenye issues serious kama hizi mkuu tusifanye utaniUkate