Dawa ya tezi dume toka St. John University iliishia wapi?

KiparaJ

Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
27
Reaction score
47
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma.
Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji upasuaji
Ila baada ya hapo haikusikika tena iliishia wapi?
 
Upuuzi mtupu kutoka kwa ngozi nyeusi. Hivi ni dawa gani iligundulika kwa weusi hata huko Western world?
 
Tulitangaziwa kwa mbwembwe mpk tukaambiwa zimeadimika baada ya hapo kimyaaaa

Kumbe hadi wasomi wetu ni wapigaji!?
 
Nje ya dawa, lazima mgonjwa umpe elimu ya ulaji sahihi (Ketogenic-mfano kuondoa sukari na kupunguza wanga huku ukiongeza protein ) na mtindo wa maisha (kama kulala masaa 6, kufanya kazi ya kutoka jasho kwa siku, kupunguza stress). Hakuna dawa inayotibu duniani kama mgonjwa hajapewa maelekezo sahihi. Binafsi sijaifuatilia hiyo dawa tajwa. Ila nimetumia uzoefu wangu wa MUHAS
 
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma.
Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji upasuaji
Ila baada ya hapo haikusikika tena iliishia wapi?
ULE ULIKUWA UTAPELI.

MIMI MGONJWA WANGU ALITUMIA HIYO DAWA,NA HAKUPATA NAFUU YOYOTE.

ALIPOFUATILIA,AKAPIGWA DANADANA HADI AKAKATA TAMAA.

MATAPELI WATUPU WALE.
 
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma.
Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji upasuaji
Ila baada ya hapo haikusikika tena iliishia wapi?
Mimi bado nasubiria ile dawa ya kipara iliyotangazwa na TFDA sijui nani wale....

Kwako Mr. KiparaJ na kipara feki
 
Upuuzi mtupu kutoka kwa ngozi nyeusi. Hivi ni dawa gani iligundulika kwa weusi hata huko Western world?
Wengi tu.
Google "what medicine was discovered by a black person".
 
Upuuzi mtupu kutoka kwa ngozi nyeusi. Hivi ni dawa gani iligundulika kwa weusi hata huko Western world?
Prompt AI yeyote au Google "what medicine was discovered by a black person"
 
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma.
Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji upasuaji
Ila baada ya hapo haikusikika tena iliishia wapi?
Kiboko ya tezi Dume ni nuclear medicine
 
Back
Top Bottom